Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

Jambo la muhimu ni kuwa na uwezo wa kuingiza pesa kila siku mpaka mwisho wa maisha yako...yaani hilo ndio la msingi bila kujali una nyumba au la! tatizo lililopo miongoni mwetu wengi ni woga wa kudhani mtu huwezi ishi bila ya kuwa na nyumba yako mwenyewe! hivi inakusaidia nini mtu unamiliki nyumba alafu huna pesa! utakula matofali?? Hao wahindi mnaowazungumzia wamejitengenezea mfumo wa kuingiza pesa katika kila siku ya maisha yao na ndio maana hawatetereki na vitu vidogovidogo. Hivyo naweza kuhitimisha kwa kusema maisha ni kujipanga tu wewe mwenyewe na kuyafanya yawe unavyotaka wewe yaani life is how you make it!
 
Kwa tafsiri sahihi ya asset, nyumba sio asset,ni liability. asset ni kitu kinachokuingizia pesa, sasa kama nyumba unakaa tu mwenyewe inaingizaje pesa? sana sana inakutoa pesa kwa kurepair nk. gari pia si asset cuz linakutoa pesa kila siku za mafuta na repairs. asset takes money to your pocket,liability takes money out of your pocket.
mi naona kuanza kwa kujenga nyumba ni muhimu sana, nyumba ni asset. kuliko kuendelea kupata gharama za kulipa wenye nyumba kodi bora uwe na kwako uokoe gharama za kodi.
 
tTAIZOO KUBWAA BADO Tz miundo mbinu ya kibiasharaa haijakaa sawa na kiasi kikubwaa ujanja ujanjaa ndoo umetamalakiiii.
kwa hiyo kulinhanisha tz na mataifa yaliyoo mbele kiuchumi kama USA ni kutwanga maji kwa kinu.
Pata hela jenga, nunua gari, weka nidhamu ya matumizi utasongaa tuuu, humo ndo kundi kubwa la waliofanikiwa endelevu kibongo walipooooo...
 

NOTE 1:

Ukishajenga nyumba yako. Still unaweza chukua mkopo bank collateral ikawa hyo nyumba uliyojenga na ukafanya mengi tu ya maana kama akili yako imekaa vizuri perhaps buy another money generating asset that also appreciates in value. i.e house. Watu wanajenga nyumba wanaipangisha, mwenye nyumba huyo huyo anakaa mabanda ya uwani bila kusahau nyumba hyo hyo kaichukulia mkopo.

NOTE 2:

Your house and land appreciates in value every single day. Building a house yesterday isn't the same as building a house today.

Caution:

Don't keep all your eggs in one basket. Don't count your chicks before they are hatched out. #Shit-Happens


#MtazamoTU
Whose the smart one now ?? (Think before you post)
 

Asset ni kitu chochote mtu anachomiliki na anafaidika kwa kuwa nacho; ni kitu chenye thamani ya pesa (money value) kwa sasa au baadaye (future economic value). Asset inaweza kupimwa kwa thamani halisi au inaweza kubadlishwa kuwa pesa. Hivyo nyumba, gari, ardhi, nk ni assets.
Unasahau kuwa ukiwa na nyumba utaepuka kulipa kodi na hela uliyokuwa ulipie kodi utaitumia kwa matumizi mengine, kadhalika ukiwa na gari utapunguza kukodi tax, bajaj, pikipiki nk.
Kwa TZ ukiwa na nyumba na gari hata heshima unakuwa nayo, tusidanganyane hapa.
 
Mkuu Nkobe, mimi naomba nitofautiane na wewe kwa kiasi kikubwa. Nilianza kazi na mshahara kidogo sana enzi hizo na mke pia alikuwa na mshahara kidogo. Tulipanga kwanza!!! Ila kutokana na hali ya upangaji nyumba Tanzania not palatable kuwa hupati nyumba nzuri ya kupanga (enzi zetu no apartments na sikutaka pia za national housing kwa kuwa ilikuwa ni flats na ndogo). Tukaazimia kupanga kwa muda, tuakaamua kununua kiwanja!! Tukaaanza ujenzi kwa kutegemea mshahara na mkopo wa nyumba bank!!!! Tulimaliza nyumba kwa kutumia miaka mitano!!! Tukawa na kwetu ila gari sikuwa nayo!!! Kwanza utaipata wapi? Nikapata scholarship nchi Fulani, nilipata vihela kidogo na kagari kamtumba nikaja nako!!!! Tukaanza tena kudunduliza kwa ajili ya kupata mtaji wa biashara hata kama ni ndogo maana watoto walikuwa japo huduma zilikuwepo, elimu safi bure, huduma za maji na hosp safi kabisa. Tukifanikiwa kupata mtaji na nilianza na duka la vyakula!!!! Lilinilipa hakika maana nilikuwa strategic!!!! Tukapata hela zaidi, tukaanza la ujenzi!!!! Hapa nikaongezea na mkopoo bank!!! Mambo safi tukaingia biashara ya vifaa vya magari!!!! (watu walianza kuagiza magari na spear tabu nikashika fursa!!! Leo hii hatuna tena zile biashara!!!! Tuliingia biashara nyingine zaidi na za kulipa zaidi maana ujenzi na spear wako wengi kwa sasa!!!! Kwa usimamizi bora mmoja wetu ilibidi aache kazi awe kama Director!!!! Hivyo basi si kweli kama ukianza na gari au nyumba utakuwa middle class!!!! Inategemea na ulivyoanza na mipango yako short and in the longrun!!! I am not a trillionaire but I can manage my life.
 
hii nimeipenda kuna ukweli kabisa hapa....uzalishaji zaidi ni wa msingi
 
Mi nilishasema na ninasema 'my investment will build my house period!!!! Hzo excuse zingine km kufilisika au kufukuzwa kazi kwangu mi hazina nafasi ......waoga wa maisha ndyo wanakuwaga middle class na majasiri ndyo wanaokuja kuwa matajir mi binafsi nimepanga kuwa finnancial free ntakapokuwa na miaka 40 now Nina 27 tht y nilikataa kuajiriwa mapema
 
Mazingira ya mwandishi Robert Kiyosaki ya kwamba nyumba si ya muhimu sana ni kwa ile nchi alipo yeye..hapa kwetu ni muhimu sana,mengine baadaye..
 
Aliyeanzisha uzi huu nampongeza. Mie nachangia hivi. Kuwa kila mtu ana style yake ya maisha, watu wengi wanapata hela tatizo ni namna ya kuzitumia. Kuwekeza wakati mwingine ni kipaji cha mtu ndio maana kuna aina tofautitofauti ya watu duniani na hapa nchini. Miaka ya nyuma kidogo ingeonekana ni aibu tena kubwa mno kijana anapata chochote halafu amepanga, wazazi, ndugu, majirani wangemshangaa na kumlaani kuwa mbona hela anapata lakini hajengi? Siku hizi utamaduni huu unapungua kulingana muda. Wakati wetu ingekuwa ni aibu ya mwaka uwe na gari halafu umepanga nyumba. ilikuwa ni fahari kuwa na nyumba yako (uliyojenga) na nyingine uliyojenga nyumbani kwenu. Hapo ungetembea kifua mbele. Kinachofanyika sasa ni mageuzi, lazima tuyakubali kama yanakubalika. Leo hii kuna investment kwenye securities, ununuzi wa shares kwenye soko la hisa ambao risk yake ni ndogo (sio kama alivosema mmoja wetu - ufugaji wa kuku). Go big. Bado naamini ujenzi ni jambo muhimu la kwanza ili ujipatie uhakika wa kuishi kabla mabalaa mengine hayajaanza.
 

kuinvest katika securities sijakuelewa mkuu naomba nieleweshe.
 
For your information! The richest investor in the world Warren Buffet alianza kujenga nyumba yake before hajaanza biashara alikuwa ameajiliwa wakati huo.
Nawashauri vijana in their 20's to build their career rather than entering into debts.




But Robert Kiyosaki anashauri kama anavyosema Nkobe na wote 2(Kiyosaki na Warren ni matajiri).
Kwa hiyo ushauri upi ufuatwe?Soma hapa changanya na zako,,,,,,,,,,,,,,,,Jihm Rohn says what you do should be the result of your own conclusion
 

hey boy, kameze vizuri madesa au tafta ticha arudie somo.
 

mkuu umefanya maamuzi sahihi
 
 

You're the few among them
 

Your house is not an investment, just Liability
 
Upo sawa lakin maisha hayana formlar..popote unaanzia. Na unatoka tu cha msing ni kujua unachokfanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…