Kule pakuingiza huo mzigo mtasema hiyo bilioni mmeipatajeMkuu sisi tuna NGO ambapo tunaruhusiwa kupokea pesa ndefu kutoka nje
Tukipanga mchongo vizuri unaweka pesa na unakuja bongo unazitoa bila kelele
Wazo zuriCash zina move sema waswahili hatuaminiani
Hizo dola wangekuwa wahindi kitu kidogo sana anampa muhindi mwenzie aliye nje USD 500,000 aliyempa anampa gharama ya ku move hiyo pesa kuwa itakuwa dola 20 000 unaambiwa nenda kwa muhindi fulani Dar dukani kwake au popote kachukue dola zako 480,000 Cash anapewa huko.Zile dola kule zinabaki kule kule kule hazimove
Ukitaka ku move dollar mfano laki mbili kwenda USA mchezo huo huo.anakuambia gharama ya ku move dola laki mbili ni dola elfu 10 mfano
Unampa dola laki mbili Tanzania unaenda marekani unaenda kupewa cash dola 190,000 cash bila longolongo
Hizi laki mbili umeweka huku.hazi move kwenda USA
Kwa waswahili ukithubutu uwezekano wa kutapeliwa mkubwa
Wahindi wanayaweza
Hii nzuriii ajitosee tu mconnect apate mtu muaminifu...!! Maana unashangaa unazungukwaa na uhai unaukosaa...Cash zina move sema waswahili hatuaminiani
Hizo dola wangekuwa wahindi kitu kidogo sana anampa muhindi mwenzie aliye nje USD 500,000 aliyempa anampa gharama ya ku move hiyo pesa kuwa itakuwa dola 20 000 unaambiwa nenda kwa muhindi fulani Dar dukani kwake au popote kachukue dola zako 480,000 Cash anapewa huko.Zile dola kule zinabaki kule kule kule hazimove
Ukitaka ku move dollar mfano laki mbili kwenda USA mchezo huo huo.anakuambia gharama ya ku move dola laki mbili ni dola elfu 10 mfano
Unampa dola laki mbili Tanzania unaenda marekani unaenda kupewa cash dola 190,000 cash bila longolongo
Hizi laki mbili umeweka huku.hazi move kwenda USA
Kwa waswahili ukithubutu uwezekano wa kutapeliwa mkubwa
Wahindi wanayaweza
Tena kwenye mawasiliano yao wanasema Kenya itakuwa rahisi zaidi kupitia kwa kuanzia Citi Bank kutakuwa na maswali zaidi. By the way Nigerians wamepigwa ban UAE na Canada.Hawa ndo wanafanya africa/ watu weusi tuwekewe alarm ulaya wao kila kitu fursa hadi wanaharibu
Ndo useme umeshinda karatasi imepotea 🤣🤣🤣 hii akili ya shule ya msingi kuiba kalamu na kusaidia kutafutaHivi huko hawabeti ile ya vikaratasi
Tuonane pmMkuu sisi tuna NGO ambapo tunaruhusiwa kupokea pesa ndefu kutoka nje
Tukipanga mchongo vizuri unaweka pesa na unakuja bongo unazitoa bila kelele
Haijakaa sawa.Point ingine amekuambia vipi! Hujaipenda?
Hii ndio nafasi naipigania hadi sasaAwatafute anaofahamiana nao au aongee na mashirika ya dini ionekane km msaada
Sawa lakini hawana IBN wanatumia Swift peke yakeEquity wakenya hao wapo mbele kiteknolojia. watu wanaofanya shughuli zao mtandaoni hupenda kuitumia equity kwenye mambo ya kupokea pesa.
Hata wazanzibari na wasomali wanafanya sana hii biashara ya mtindo huu, ila hawafanyi kwa mtu wasiomjua au kumuamini.Cash zina move sema waswahili hatuaminiani
Hizo dola wangekuwa wahindi kitu kidogo sana anampa muhindi mwenzie aliye nje USD 500,000 aliyempa anampa gharama ya ku move hiyo pesa kuwa itakuwa dola 20 000 unaambiwa nenda kwa muhindi fulani Dar dukani kwake au popote kachukue dola zako 480,000 Cash anapewa huko.Zile dola kule zinabaki kule kule kule hazimove
Ukitaka ku move dollar mfano laki mbili kwenda USA mchezo huo huo.anakuambia gharama ya ku move dola laki mbili ni dola elfu 10 mfano
Unampa dola laki mbili Tanzania unaenda marekani unaenda kupewa cash dola 190,000 cash bila longolongo
Hizi laki mbili umeweka huku.hazi move kwenda USA
Kwa waswahili ukithubutu uwezekano wa kutapeliwa mkubwa
Wahindi wanayaweza
Tumia hard and soft wallet , ku varify hauna kitambulishoId lazma, verification lazma. Njia hyo ni ngumu hata forex lazma uverify kufika tu dola 10,000/-
Ndugu i did my best in these two days. Hzo njia sijui za trade Zisikieni tu kwasababu hamna hela. Ukiwa na hela ni ujinga mtupu. Ukiwa na hela kama hiyo zinahitaji mambo mengi.Tumia hard and soft wallet , ku varify hauna kitambulisho
Lessen
nida
Passport
Kitambulisho cha kura ,
Tena akiwa siriasi hata miezi 6 haifiki hiyo hela ishahama Bongo apate watu waaminifu tuu mm huko kote nilikuwa napokea mpaka 20 Milion karibu na jengo Ccm lumumba jengo silitaji nishapokea sana tena unapewa Dollars inatumwa huko huko wanakatana ww unaenda na Code na Id tu kwisha habari.Hata wazanzibari na wasomali wanafanya sana hii biashara ya mtindo huu, ila hawafanyi kwa mtu wasiomjua au kumuamini.
Nipo mimi nifate kwa msaada,Nakupa account yangu unanitumia kiasi fulaniSomething to note wakati mnanishauri.
Money transfer yyte inahitaji maelezo kwa pesa ya urefu huo. 100% itapotea.
Go and return. Itanichukua si chini ya milioni 200 tickets kusafirisha dola elfu kumi kila trip.
Hela tajwa juu, idadi iliyofikia si yakukaa nayo cash kwa nchi niliyokuepo na nchi nyingi za ulaya. Ni hela iliyokusanywa. Sema imezidi limit na ubaya ipo in cash. Ngumu kutolea maelezo popote.
Ndo shida ya kukimbilia ku comment bila kusoma Uzi kwanza!Kutoa hela zako kwenye ATM unatoa maelezo kwenye ATM?
Walioanzisha Visa Card na Master Card waliona mapema kuwa watu wao wataptaa usumbufu.wa kutwa kufungua account kila nchi
Ukiwa na Account kwenye benki zao unatoa pesa ATM yeyote popote duniani bila shida
Wanasema ukikuta watu wazima ni vizuri kusikiliza wanachoongea kabla hujasema wazo lako. Fatilia thread. Say what you gat.Pesa ni halali au ya mchongo tuanzie hapa?