Exile
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 1,477
- 3,642
Bro wako atakua na kazi inayoeleweka na yupo kwenye system za benki na analipa kodi sasa huyu yupo na cash tena ni nyingiSirahisi kivipi mbona easy tuu mm mbona nilikuwa napokea ila za bro ktk miradi yake ni western na switft chini ya 15 milioni hakuna shida yoyote tena kama anaweza kila week anaweka mzigo 2 labda awe anaishi kimagendo huko aliko.