TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
Kwani ni lazima kuziweka zote!!? Hata malipo si lazima ufanye yote! Kila kitu anafanya mdogo mdogo mpaka zoezi linaishaunaingia kwenye website, unabofya gari au chochote, utahitaji kulipa pesa online, ili pesa ilipwe online inatakiwa kuwepo kwenye benki, wewe haipo bank hiyo pesa unayo cash home, utalipaje? na ukipeleka hizo cash bank ili ziwepo kwenye mfumo watakushtukia. wabongo wengi sana hawana uelewa na mifumo ya kipesa ya nchi zilizoendelea.