ulaya hatutunzi pesa nyumbani, pesa huwa zinakaa bank, hivyo ukionekana na pesa ambazo sio reasonable home, tayari unakuwa mshukiwa kwa namna fulani hadi wajiridhishe kwamba hufanyi biashara chafu na hukwepi kodi. hao matajiri wa ulaya unaowaona, pesa zao zote zipo kwenye mfumo na uwekezaji wao unajulikana, na wakifanya makos aanaweza kulala jana tajiri akaamka kesho amefilisika mazima. na hao matajiri wa ulaya wangekuwa africa huku ambako tunaishi kama kuku wangekuwa matajiri mara mbili kwasababu wasingetoa kodi na ujanjaujanja mwingiii kama ule wa kariakoo. sijui tuelezeje ili muelewe.