Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
- Thread starter
-
- #241
Unaingizaje hela huko.Ushauri mwingine ninaoweza kukupa,ni kupitia kwenye makasino,Betting nenda kafungue account kwenye michezo ya kamati weka mzigo njoo uuchomolee bongo
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Wazo zuri.Nyingine nikuunganishe na mashirika ya utoaji msaada,Makanisa,misikiti yuko nako kaangalie
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Kumtumia mtu ambaye hamjui kisa mfanya biashara tu ni risk sana atapigwa vizuri tu na kifo juu
try to find hiden code.Wanasema ukikuta watu wazima ni vizuri kusikiliza wanachoongea kabla hujasema wazo lako. Fatilia thread. Say what you gat.
Serikali gani?Kopesha serekali tu
Huna mtu mwenye NGO? Waweza tumia njia hiyoHabari wana JF,
Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.
Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo wanaoelewa mipango. Asanteni.
Ongea vizuri na da mange ulipie kwenye acc yake majina tofauti kwa kiasi ulichonacho alafu mtachek jinsi atakupatia huku bongo [emoji482]
Kivipi tena[emoji13][emoji13] unamtafutia sonona mwenzio
Hii ndio nafasi naipigania hadi sasa
Namjua nje ndani. I need something clean. Nipe mawazo yakinifu usife ubongo.TO CONCLUDE THIS, MCHEKI SALAAAAH[emoji817]
Kivipi tena
Namjua nje ndani. I need something clean. Nipe mawazo yakinifu usife ubongo.
ushauri kama huu unaonyesha hujawahi hata kumiliki pasport tu. anawekaje hela bank wakati ile kutua nazo tu bank wale wafanyakazi wa bank watapiga simu polisi waje wamchukue? kuna wabongo ukiwabeba ukawatua ulaya watashinda jela everyday.Weka kwenye bank account ya benk Iyeyote huko nje kisha beba Viza au master card yako utakuwa una draw taratibu pesa zako ukiwa Tanzania kwenye ATM
Popote kwenye ATM zilizosambaa nchi nzima
I GOTCHA.Namjua nje ndani. I need something clean. Nipe mawazo yakinifu usife ubongo.