Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Ushauri mwingine ninaoweza kukupa,ni kupitia kwenye makasino,Betting nenda kafungue account kwenye michezo ya kamati weka mzigo njoo uuchomolee bongo

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Unaingizaje hela huko.
Bongounaenda tu kwa wakala. Hii hela ipo cash. Lazma system isome tofauti na bongo unaweka yte kupitia wakala.
 
Habari wana JF,

Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.

Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo wanaoelewa mipango. Asanteni.
Huna mtu mwenye NGO? Waweza tumia njia hiyo
 
Weka kwenye bank account ya benk Iyeyote huko nje kisha beba Viza au master card yako utakuwa una draw taratibu pesa zako ukiwa Tanzania kwenye ATM

Popote kwenye ATM zilizosambaa nchi nzima
ushauri kama huu unaonyesha hujawahi hata kumiliki pasport tu. anawekaje hela bank wakati ile kutua nazo tu bank wale wafanyakazi wa bank watapiga simu polisi waje wamchukue? kuna wabongo ukiwabeba ukawatua ulaya watashinda jela everyday.
 
Jambo Dogo Ambalo Unatakiwa Kufika BOT Utapewa Ufafanuzi
Serikali Inazuia Pesa Chafu Popote Duniani,
 
Back
Top Bottom