Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Nunua kito Cha dhahabu kivae, upite nacho airport,ukifika bongo unayeyusha kwa sonara unauza dhahabu unarudisha pesa yako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
icho kitu anakinunua wapi, wakati hata kwenye manunuzi hawataiamini cash, watataka iwe credited kwa card? mbona mpo mbali sana na dunia aisee?
 
Ulikuwa una fanya kazi gani humo ughaibuni mpaka upate hela yote hiyo ????



dah. Hustling ni hustling aseeww natamani hata na mm nipate dollar 200 tuu mpaka kesho mchana ili nikidhi. Mahitaji na kulipa bills zinazonisonga aseeee
 
Huna mtu mwenye NGO? Waweza tumia njia hiyo
Nilifikria pia hili akitafuta kituo cha kulelea watoto Yatima au NGO akaset up donation ya mchongo huko halafu akahamishia ukwasi kidogo kidogo kwenye NGO hiyo itakuwaje ?

Sema wabongo kwenye hela popote atapigwa tu
 
Leo nimeamini JF kuna watu Wana tamaa sana na pesa za wanaume wenzao na matapeli wakutosha sana humu hahahaha.....

Me binafsi naona njia salama salimini ya wewe na pesa zako ni go and return kama ukitumia M300(hii pesa nyingi Ila huna jinsi) ukabaki na hizo M800 sio mbaya kuliko kutake risk ukakosa vyote maana hiyo pesa huko ishukuwa ya moto...


Ila uzi una madini sana mkuu chapwa24 nimekuelewa sana.....
 
Kama ni mimi naingia kwenye website ya kiwanda kabisa naagiza brand new trucks na hizo installment nafanyia kiwandani hukohuko sihitaji mtu wa kati
Hiyo instalment payment unaifanyaje wakati una cash kabatini ghetto kwako? Systems za watu weupe sio rahisi sana mtu kutakatisha pesa.

Kama ordinary citizen ana earn let's say $40,000-60,000 per Yr, wewe unatoa wapi $40,000 kila mwezi unadeposit bank?

Very tricky aisee
 
Hii ndio option pekee inauowezekana hapa. Otherwise atapoteza pesa zake.
 
Hii ndio option pekee inauowezekana hapa. Otherwise atapoteza pesa zake.
Naamini ana gari hapo alipo. Azichomelee kwenye gari sehemu ya siri halafu aitume Dar. Au aziweke kwenye mfuko wa plastic halafu aziweke kwenye tanki la mafuta. Aombe tu meli isizameπŸ™‚
 
Hana anachokijua Wala Hana hicho kiasi ,juzi tu hapa anauza ps mbovu kwa laki Leo eti ana usd 500000 cash
 
Naamini ana gari hapo alipo. Azichomelee kwenye gari sehemu ya siri halafu aitume Dar. Au aziweke kwenye mfuko wa plastic halafu aziweke kwenye tanki la mafuta. Aombe tu meli isizameπŸ™‚
Kuna Scanners bandarini kwa ajili ya kutrack madawa , litakwama hilo gari huko huko ulaya. Na Pesa yote watachukua mixer kesi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…