Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Nunua kito Cha dhahabu kivae, upite nacho airport,ukifika bongo unayeyusha kwa sonara unauza dhahabu unarudisha pesa yako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
icho kitu anakinunua wapi, wakati hata kwenye manunuzi hawataiamini cash, watataka iwe credited kwa card? mbona mpo mbali sana na dunia aisee?
 
Ulikuwa una fanya kazi gani humo ughaibuni mpaka upate hela yote hiyo ????



dah. Hustling ni hustling aseeww natamani hata na mm nipate dollar 200 tuu mpaka kesho mchana ili nikidhi. Mahitaji na kulipa bills zinazonisonga aseeee
 
Huna mtu mwenye NGO? Waweza tumia njia hiyo
Nilifikria pia hili akitafuta kituo cha kulelea watoto Yatima au NGO akaset up donation ya mchongo huko halafu akahamishia ukwasi kidogo kidogo kwenye NGO hiyo itakuwaje ?

Sema wabongo kwenye hela popote atapigwa tu
 
Leo nimeamini JF kuna watu Wana tamaa sana na pesa za wanaume wenzao na matapeli wakutosha sana humu hahahaha.....

Me binafsi naona njia salama salimini ya wewe na pesa zako ni go and return kama ukitumia M300(hii pesa nyingi Ila huna jinsi) ukabaki na hizo M800 sio mbaya kuliko kutake risk ukakosa vyote maana hiyo pesa huko ishukuwa ya moto...


Ila uzi una madini sana mkuu chapwa24 nimekuelewa sana.....
 
Kama ni mimi naingia kwenye website ya kiwanda kabisa naagiza brand new trucks na hizo installment nafanyia kiwandani hukohuko sihitaji mtu wa kati
Hiyo instalment payment unaifanyaje wakati una cash kabatini ghetto kwako? Systems za watu weupe sio rahisi sana mtu kutakatisha pesa.

Kama ordinary citizen ana earn let's say $40,000-60,000 per Yr, wewe unatoa wapi $40,000 kila mwezi unadeposit bank?

Very tricky aisee
 
Cash zina move sema waswahili hatuaminiani

Hizo dola wangekuwa wahindi kitu kidogo sana anampa muhindi mwenzie aliye nje USD 500,000 aliyempa anampa gharama ya ku move hiyo pesa kuwa itakuwa dola 20 000 unaambiwa nenda kwa muhindi fulani Dar dukani kwake au popote kachukue dola zako 480,000 Cash anapewa huko.Zile dola kule zinabaki kule kule kule hazimove

Ukitaka ku move dollar mfano laki mbili kwenda USA mchezo huo huo.anakuambia gharama ya ku move dola laki mbili ni dola elfu 10 mfano

Unampa dola laki mbili Tanzania unaenda marekani unaenda kupewa cash dola 190,000 cash bila longolongo

Hizi laki mbili umeweka huku.hazi move kwenda USA

Kwa waswahili ukithubutu uwezekano wa kutapeliwa mkubwa

Wahindi wanayaweza
Hii ndio option pekee inauowezekana hapa. Otherwise atapoteza pesa zake.
 
Hii ndio option pekee inauowezekana hapa. Otherwise atapoteza pesa zake.
Naamini ana gari hapo alipo. Azichomelee kwenye gari sehemu ya siri halafu aitume Dar. Au aziweke kwenye mfuko wa plastic halafu aziweke kwenye tanki la mafuta. Aombe tu meli isizame🙂
 
mimi sidhani kama wewe una pesa yeyote, unasumbua akili za watu tu hapa. hivi kweli uwe na pesa kama hiyo halafu usijue namna ya kuisafirisha? au umeziokota mtu alidondosha? upate akili ya kutafuta pesa kama hiyo halafu ukose akili ya kusafirisha? kwenye dunia hii? unauza madawa? unashindwa nini hata kwenda tu kwa customer care wa bank hapo ulaya ufanye maulizo?
Hana anachokijua Wala Hana hicho kiasi ,juzi tu hapa anauza ps mbovu kwa laki Leo eti ana usd 500000 cash
 
Naamini ana gari hapo alipo. Azichomelee kwenye gari sehemu ya siri halafu aitume Dar. Au aziweke kwenye mfuko wa plastic halafu aziweke kwenye tanki la mafuta. Aombe tu meli isizame🙂
Kuna Scanners bandarini kwa ajili ya kutrack madawa , litakwama hilo gari huko huko ulaya. Na Pesa yote watachukua mixer kesi .
 
Back
Top Bottom