Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Njoo pm niwekee kwenye acc.yangu tutayamaliza tu huku tz
 
Hamna kitu kama hicho , hiyo hela ni refu sana , Labda ni mtu tu ameamua apate comments hapa JF na likes tuu , ni Kazi gani ya kumuuingizia hiyo hela . Huyo mtu anatumalizia tu MB zetu kujibu upuuzi hapa
 
Akifanya hivyo ajiandae na matatu kati ya haya:
1) kufanikiwa, watamlipa bila shida
2) kutupiwa majini, akasahau kabisa hiyo pesa
3)kutumiwa majambazi na kuuawa

Kwenye pesa hao tycoons huwa hawana utani tena kwa mtu ambae hawamjui vizuri
 
Ushauri wangu tafuta ndugu zako Kama 20 hiv wape help wafungulie akaunti halafu kila mtu mtumie kiasi fulan Cha pesa mfano dola elfu 10 kila baada ya mwez halafu ukirud bongo utazitoa
Hii sio rahisi pia. Account zikifunguliwa mpya alafu ghafla zikawltumiwa milion 20 kutoka nje ya nchi, Tena account zimazofanana surname. Lazima Kuna alert hapo. Lazima wabanwe kupata uhalali, mwisho kabisa utanaswa

Muulize marehemu membe
 
Kwanini usifanye manunuzi ya bidhaa ambazo unajua ukifika huku lazima zitauzika au utatumia kirahisi na zikatengeneza faida zaidi ya hiyo pesa! Agiza hata vichwa vya howo na matrailer yake vijana waje wapambane navyo huku
Sio rahisi
Lazima kutakua na red flag, mtu ambae hajawahi kufanya biashara ya magari amewezaje kununua magari mapya 20 harakaharaka.
 
Sasa si awe anazileta yeye mwenyewee kwa trip kadhaaa.
Teknolojia ya sasa itamuumbua tu. Lazima kutakua na red flag

Hapo ni safari 50 ili aweze kumaliza hizo pesa. Hivyo lazima watashtuka, maana wataona safari zi.ekua nyingi kwenda nchi 1 na kila akirudi anarudi na pesa
 
Ikiingia tu kwanz la account itafungwa alafu jiandae kuwapokea hawa..

1. Maafisa wa BoT
2. TRA

Baada ya hao tarajia pia hawa..

3. Mkuu wa mkoa
4. DC
5. Katibu wa chama
Daaaah nyie Tanzania hatari sanaaa nimecheka, una ufala mwingi sana, sasa watu wa chama tena watamvaa wanataka nini 😂😂😂😂😂
 
Nunua kito Cha dhahabu kivae, upite nacho airport,ukifika bongo unayeyusha kwa sonara unauza dhahabu unarudisha pesa yako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ananunuaje huko? Ni nchi gani huko nje Western ambayo utaenfa na cash hata $2,000 ukanunua kitu watakubali?

Wengi sijui hamjui wenzetu walishatoka kwenye cash. Hapo ndani ya dakika 2 atakua yupo polisi anatoa maelezo alafu siku inayofata yupo mahakamani na baada ya muda atakua jela na pesa zote zitachukuliwa.
 
Huu ndio ushauri bora kuliko wote

1) mpe cash tajiri wa huko awe msomali au muhindi na hakikisha nae ni mtu wa hayo mambo maana akiwa ni nyoka umeisha utaozea jela

2) Deposit cash kiasi kidogo sana cha pesa kwenye hizo betting, alafu uwe unacheza kweli na uwe unatoa kidogo.
 
Kupata hao 30 alafu wote wakawa poa ni shida, lazima Kuna mmoja atakuwa nyoka tu. Hiyo njia sio salama
 
Go and return ✓ utanishukuru [emoji1431]
Hiyo go and return baada ya muda tu atakua tayari kishakuwa mfungwa mpya.

Teknolojia imekua, akifanya safari 5 tu ambazo akienda huko alafu anabeba pesa cash anapita nazo airport. Tayari itakua red flag, safari 5 zinazofata zitamaliza kabisa doubt yao na atakua kwenye mikono salama.

Hii njia inawezekana Africa tu, utoke na pesa Ghana ulete huku
Hapo sawa, lakini sio europe.

Njia pekee ni hiyo waliyosema hapo wadau, atafute wasomali au wahindi wa dili haramu awaachie hiyo pesa, alafu hao wahindi/wasomali wawasiliane na wenzao huku kuwa kuna mtu watampatia pesa cash hapa Tz. Wao watamalizana wenyewe. Hii njia kudhululiwa nje nje, hivyo na yenyewe uwe tayari kupoteza pesa au uhai wako
 
Mimi Niko kahama mkuu naomba uniwezeshe $2000/- nitakujali pakubwa mnooo njoo WhatsApp tuyajenge0627415095
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…