Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
💯It's tough but possible
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯It's tough but possible
Kwamba aende safari 50 kufuata pesa yake.
Njoo pm niwekee kwenye acc.yangu tutayamaliza tu huku tzSomething to note wakati mnanishauri.
Money transfer yyte inahitaji maelezo kwa pesa ya urefu huo. 100% itapotea.
Go and return. Itanichukua si chini ya milioni 200 tickets kusafirisha dola elfu kumi kila trip.
Hela tajwa juu, idadi iliyofikia si yakukaa nayo cash kwa nchi niliyokuepo na nchi nyingi za ulaya. Ni hela iliyokusanywa. Sema imezidi limit na ubaya ipo in cash. Ngumu kutolea maelezo popote.
Hivi mnaelewa dunia vizuri kweli inavyoenda??..Au deposit Ela kwny account ya betting
Ukifika bongo unawithdraw kwa mawakala wa bongo kwa fedha za bongo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
😀😀DahTumbukiza PayPal kisha sukuma safaricom kisha Mpesa /bank Tanzania
Au tupia bank Moja kwa Moja zingine Weka kwenye account yangu utakuja chukua mkuu
Akifanya hivyo ajiandae na matatu kati ya haya:Talk with big importers, of course there will be a consideration; sign an agreement, give them the money. He will import whatever he is registered to import. Atauza na kukupa hela yako.
Huwezi kuwa na $500,000 usijue kizungu.
If you got those bucks legitimately you can remit them through the bank
Hii sio rahisi pia. Account zikifunguliwa mpya alafu ghafla zikawltumiwa milion 20 kutoka nje ya nchi, Tena account zimazofanana surname. Lazima Kuna alert hapo. Lazima wabanwe kupata uhalali, mwisho kabisa utanaswaUshauri wangu tafuta ndugu zako Kama 20 hiv wape help wafungulie akaunti halafu kila mtu mtumie kiasi fulan Cha pesa mfano dola elfu 10 kila baada ya mwez halafu ukirud bongo utazitoa
Sio rahisiKwanini usifanye manunuzi ya bidhaa ambazo unajua ukifika huku lazima zitauzika au utatumia kirahisi na zikatengeneza faida zaidi ya hiyo pesa! Agiza hata vichwa vya howo na matrailer yake vijana waje wapambane navyo huku
Teknolojia ya sasa itamuumbua tu. Lazima kutakua na red flagSasa si awe anazileta yeye mwenyewee kwa trip kadhaaa.
Daaaah nyie Tanzania hatari sanaaa nimecheka, una ufala mwingi sana, sasa watu wa chama tena watamvaa wanataka nini 😂😂😂😂😂Ikiingia tu kwanz la account itafungwa alafu jiandae kuwapokea hawa..
1. Maafisa wa BoT
2. TRA
Baada ya hao tarajia pia hawa..
3. Mkuu wa mkoa
4. DC
5. Katibu wa chama
Ananunuaje huko? Ni nchi gani huko nje Western ambayo utaenfa na cash hata $2,000 ukanunua kitu watakubali?Nunua kito Cha dhahabu kivae, upite nacho airport,ukifika bongo unayeyusha kwa sonara unauza dhahabu unarudisha pesa yako
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hiyo kampuni gani ya betting ambayo utakubali mtu aende na cash kudeposit?Au deposit Ela kwny account ya betting
Ukifika bongo unawithdraw kwa mawakala wa bongo kwa fedha za bongo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huu ndio ushauri bora kuliko woteNakupa option zifuatazo.
1. Kuna mdau kaongelea hizo deal za wahindi yaani kuna mtu yuko bongo ana hio cash na wewe uko huko so hizo unaacha huko unakuja kupokea huku at a reasonable cost lets say 10% of the amount
2. Deposit kwenye online gambling site. This is a very good method to clean it. Let’s say unaanza kudepost 5000$ sasa wewe haubet yote, una bet lets say dola 100$ ushinde au usishinde hakikisha una Fanya withdrawal kwenye akaunti itaonekana kama winnings from gambling site. Ila DEPOSIT OVER THE COUNTER kwenye any casino huko europe ili uingie evolution, betway au 1x. Cheza sana huko kuna gambling addicts wanabet mpaka 10M USD in a month. So haitokuwa shocking sana.
3. Nunua bitcoin mdogo mdogo. Baadae uza unapata justifiable amount.
4. Ukishindwa mzee bakinazo. There is no investment bongo that is worth the risk
WAKANDA FOREVER
Kupata hao 30 alafu wote wakawa poa ni shida, lazima Kuna mmoja atakuwa nyoka tu. Hiyo njia sio salamaHiyo njia ya Wahindi walioopo huku ni best way... unaacha hela zako unakuja pewa cash huku bongo uanze kupambana nazo... uzuri huku bado sio cashless kama huko ulipo...
Ila wazo langu lingine kuliko lile la kutafuta ndugu 30 sijui 20 huku bongo then uwatumie (ambapo bank za huko watakudoubt) kama walivyosema wadau, tafuta watu 30 unaojuana nao huko ulipo... mje bongo kama wataliii then kila mtu abebe 10m USD ambazo ni allowable... hapa one trip mnaleta huku like 300m... ukisafiri kwenda na kurudi alone mara 50 sijui hutotoboa...
Hiyo go and return baada ya muda tu atakua tayari kishakuwa mfungwa mpya.Go and return ✓ utanishukuru [emoji1431]
Fuata hii hasa hiyo ya Kenya zikiingia hapo tuu rahisi kuja nazo bongo
Mimi Niko kahama mkuu naomba uniwezeshe $2000/- nitakujali pakubwa mnooo njoo WhatsApp tuyajenge0627415095Habari wana JF,
Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.
Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo wanaoelewa mipango. Asanteni.
Kuwa makini usije kumponza mheshimiwa kunduMimi Niko kahama mkuu naomba uniwezeshe $2000/- nitakujali pakubwa mnooo njoo WhatsApp tuyajenge0627415095