Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Mleta mada safi sana.
Umerudisha imani yangu kwamba waafrika pia Iq inasoma soma juu kidogo.
Wamedhihirisha hilo kwa kuchukulia kwao mambo dhahania kuwa ni halisi na kutoa majibu mengi kama ulivyouliza.
Taking the hypotheticals seriously is a sign of higher IQ ✅.
My take: Pesa mifumo yake imejiweka kama sukari tu mwilini;
Pesa(sukari) ukiipata nyingi basi ni kweli itajionesha umeizalisha nyingi na kiotomatiki utaitumia kwa wingi. Ndio maana matajiri kama kina bakhresa ni wana shughuli kubwa (ndio utajiri) na sio tu pesa nyingi isiyoeleweka. Pesa halali ni ambayo ni matokeo ya shughuli.
Ukifanya cheating kiwango cha pesa(sukari) kisiendane na matumizi, uchumi(afya) utayumba na ndio maana serikali(akili) inajitahidi kuregulate hili jambo heavily🤔
Nikiiweka vizuri hii falsafa ntaandikiaga blogu.