Ukiwa na vyote bado tu unatakiwa kumuogopa yule ambaye hana kabisa na ni adui yako pia?

Hivi wewe ni Mtanzania kweli au unatudanganya una asili ya Israel? Hii akili kubwa na utanzania haviusiani. Watanzania wenye akili kama hizi wamebaki wachache sana, ni wa kuokoteza.

Ni Mtanzania halisi kabisa Mkuu sema tatizo 'Kubwa' ni kwamba 'Nimerithi' aina ya 'Upeo' huu mkubwa kutoka kwa 'Marehemu' Babu zangu Wawili.
 
Adui ni adui tu

Tena hata kama hana akili hata moja amekata kamba za mirembe unatakiwa umuogope na ujihami kwa mbinu zote

Go Magu Go, huyo adui yako kichwa chake ni kama puto ambalo wapulizaji wake ni mabeberu

Hatujui litaangukia upande gani

Beba miba ya kutosha ukiskia paaaa!!!! Ujue kajigusisha. Afanaaleki!
 
Hujamuelewa mtoa mada.
 
Hapo umesahau kimoja,NEC tie but vyote hivyo kuwanavyo inategemea uhalslishiwe na wanyonge na uwe msema kweli mpenzi wa Mungu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mimi siyo 'Mkurya' Mkuu ni Mzanaki, Mtutsi, Mmakuwa na Mmwela. Hao 'Wakurya' ninawaheshimu tu kwakuwa tunatokea pamoja Mkoani Mara tu.
Ndiyo walewale tu usibishe, Butiama na Bisarye, ikizu, isenye natabigo mpaka Mugomu teremka maji moto, kibumaye mpaka Turwa Tarime Nenda Kuria District-Kenya ni hao hao mnasikilizana.
Adui wa mtu ni mtu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…