Ukiwa nyumbani halafu huna kazi

Una jinsia ipi mkuu!
 
Kama unaitwa Michael wanaanza kukuita Jamaa,

We jamaa
Uyu jamaa bado amelala
Uyu jamaa yupo wapi akanunue sukari
Uyu jamaa yupo wapi akajaze gas

Battery zikiisha kwenye remote utasikia huyu jamaa ameshaharibu remote
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mi bibi alikuwa ananiambia unalala mpaka muda huu umepaki malori mangapi huko nje?
Au eee “naona bakhresa hajaamka tu”
Hilo la bibi kunikosesha amani lilinipata pia, alikuwa anasema "eeeh!! Munanyooka nyooka tu, kazi za kufanya zimekosekana "harafu ile asubui anakuamsha ufagie uwanja, r.i.p bibi yangu kiukweli ulikuwa una support juhudi za muheshimiwa japo alikuwa bado hatujamfikilia.
 

Yaan ukichelewa kuamka anakasirika huyo
Ananikata jichoo kali
Wapumzike kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…