Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
Je utakuwa unafanya NINI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unataka kusema warembo walio kimya wako bize na pm?Hao ni wasoma threads na comments na kuvaa pm za warembo
Unapitia nyuzi hukohuko kanisani sio?niko kanisani kwenye mkesha.
leo sitaki dhambi..
ndiyo mkuuUnapitia nyuzi hukohuko kanisani sio?
Ulivyotaja mapochopocho,Napika maandazi vitumbua kalmati kachori na donati.
Nipo hapa karibu na betri 🤒
Ulivyotaja mapochopocho,
Umenikumbusha Inspector Haroun Babu mzee wa vyapati vyapati.
Asali Wa moyo Anakula urojo,Tende na maziwa kibabu,nyama rositi,anatema slang,anabonga ung'eng'e,anagonga ngeli kilatini,
Kiespanyola hapo ndo chenye.
Mamaa Kasie mama wa hubaa nilijua utamwaga maandishi ya vitumbua,kachori kwa kispanyola lugha ya deko,lugha mahaba.
Haaaa Kwelii,NikieendeleaaAahahahahhaaa tungo tamuu, natamani uendelee tena...