Ukiwa serious sana na maisha unakitafuta kiharusi

Ukiwa serious sana na maisha unakitafuta kiharusi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwenye maisha usiwe serious sana ishi Kama mwijaku furahia maisha fanya vitu ambavyo vinaonekana vya ajabu mtu mzima kuvifanya mfano kubebana mgongoni,.

Kuwa serious kwenye ishu ya posho tu maana usipokuwa serious kwenye hela unaweza kudhulumiwa usipate gawio.

Kula vinono na kunywa pombe achana na janabi mwili wa binadamu umeumbiwa viungo ambavyo kazi yake ni kuchuja sumu.. Halafu kwanini utake kuishi miaka mingi sana ishi miaka kidogo inatosha Tena Kwa wanawake ndo kabisa akianza kuwa lishangazi anapaswa adedi.


Mtu anakwambia madhara ya kitu na hayajawahi kumkuta Kwa mfano unaniambia nisinenepe wakati sijawahi kunenepa nikashuhudia madhara yake.. Au pombe eti ina madhara wakati sisi wazazi wetu walikuwa wanakunywa na wakatusomesha.. Hivyo pombe haina shida.. Shida ni umaskini na hata kwenye jamii wanywa soda ndo wanaongoza kuleta matatizo.. Sio akili zangu wakuu ni CHAI nayokunywa.leo ni weekend Nasema uongo ndugu zangu.
 

Attachments

  • DSC_0170.JPG
    DSC_0170.JPG
    2.6 MB · Views: 8
pombe eti ina madhara wakati sisi wazazi wetu walikuwa wanakunywa na wakatusomesha.. Hivyo pombe haina shida.. Shida ni umaskini na hata kwenye jamii wanywa soda ndo wanaongoza kuleta matatizo.. Sio akili zangu wakuu ni CHAI nayokunywa.leo ni weekend Nasema uongo ndugu zangu.
Hili ndilo ulilokuwa umekusudia kutuambia au nasema uongo ndugu yangu...????!!!! 🤒
 
Kila kitu kwa kiasi mkuu
Janabi anachokiongea ni sahihi

Mimi huwa nakula milo miwili na kwa wastani naona impact yake ni positive sana
 
Back
Top Bottom