Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Salaam wasalaam.
Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu..
KUSHINDA
KUFUNGWA
DROO
ukishajua hivi kamwe hautaumizwa na matokeo yeyote.
Ndo maana mpira nime ufanya ni starehe kama sterehe zingine.
Siwezi nikaumia kisa mpira.
Siwezi nikagombana kisa mpira.
Daima sitauwamini mchezo huu..
Hakuna timu iliyowahii kushinda mechi zote toka ianzishwe.
Timu kubwa duniani zote zinapitia kipigo na ushindi.
Na mpira ni bahati nasibu sio kucheza vinzuri wala nini??
Ndo maana kampuni za betting zipo nyingi duniani.
Sisi watanzania hatujui huu mchezo vinzuri,ndo maana mashabiki wa kibongo wanashinda siku nzima kubishania mpira vijiweni..
Ukiwa shabiki usipende kuujiaminisha utashinda kila mechi,tambua huchezi na magogo wala mawe..
Na usipende kuwaamini sana wachezaji pia hao watu..
Kuna siku mbaya kazini pia hao wameumbwa.
Daima usiuamini mchezo wa mpira,mpira ni bahati nasibu,
mpira ni kazi ya shetani..
MPIRA MPIRA MPIRA..
MCHEZO WA AJAABU SANA ..
NI YULE YULE MANGI SHANGALI ASIYEPENDA MPIRA DAIMA.