Ukiwa tajiri hauitaji Chuo

Ukiwa tajiri hauitaji Chuo

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,221
[emoji23][emoji23] ukiwa tajiri hauitaji Chuo.. we nenda pale Gymkhana lipia wanakupa na MTU wa kubeba mabegi na vile vidungu.[emoji23][emoji23]

Muda WA kuvaa glove mkono mmoja huu
Unapiga mipira Ile popote pale na watu wanakupigia makofii

Paki ndinga Kali nje ingia gym maeneo ya colesseum pale,sea cliff au palm residents marafiki watakuja tu

Jioni unajisigeza maeneo ya harbour view tower unapiga kinywaji huku ukiangalia makontena yakishushwa bandarini
View attachment 2675224
20221228_183335.jpg
View attachment 2675225View attachment 2675222View attachment 2675223
 
Ukiwa tajiri ukajamba kwenye kikao na watu wakajua ni wewe, watamsingizia kapuku aliyekaa pembeni
 
Tafuta tiba ya Akili unaishi ktk illusion that will never exist
 
Ukiwa tajiri ukajamba kwenye kikao na watu wakajua ni wewe, watamsingizia kapuku aliyekaa pembeni
Wakisema umejamba wewe watasema ushuzi wako unanukia kama perfume ya Versace [emoji28][emoji28][emoji28].
 
Utajiri wenu wa maana gani ikiwa mnaacha fursa nyingi sana.

Si Kusanyeni coloured energy bottles mtengeneze hata vijiko vya plastics
 
Back
Top Bottom