Ukiwa Tajiri utaoa Mwanamke wa aina gani?

Usijari baby ngoja nikienda kwenye tohara nitapata hela na kila kitu kitakuwa sawa ,shida wanakijiji walinionea wivu kusikia nina viazi wakawatonyo wote ninaodaiwa nao hivyo siku napakia kwenye kontena kutoka Dar wamenisimamia mlangoni
 
Binadamu wabaya..
 
Kataa ndoa ndoa ni utapeli,Ndoa ni utumwa na wizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…