Bongo senior JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 757 Reaction score 1,526 Aug 15, 2024 #21 Kwa hii hali nilokuwa nayo kweli kuna utajiri utakuja 🤔
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 15, 2024 #22 Mahondaw said: Kwamba matajiri ndio wanaooa! Sie tuliooolewa na wakawaida ndio mnataka kutwambiaje??? Acheni hizooi Cc Smart911 Click to expand... Nitamjibu mleta mada nikiwa masikini... Hahaha
Mahondaw said: Kwamba matajiri ndio wanaooa! Sie tuliooolewa na wakawaida ndio mnataka kutwambiaje??? Acheni hizooi Cc Smart911 Click to expand... Nitamjibu mleta mada nikiwa masikini... Hahaha
S Shotocan JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 6,650 Reaction score 12,711 Aug 15, 2024 #23 Matajiri wengi huoa au kuoza kwa watoto wa matajiri watoka familia za matajiri wenzao au wanawake matajiri wanaojua utajiri ni nini? Au kama sio matajiri hutafuta wale waliofanikiwa sana mfano kielimu,kitaaluma,kibiashara nk with proven evidence
Matajiri wengi huoa au kuoza kwa watoto wa matajiri watoka familia za matajiri wenzao au wanawake matajiri wanaojua utajiri ni nini? Au kama sio matajiri hutafuta wale waliofanikiwa sana mfano kielimu,kitaaluma,kibiashara nk with proven evidence