Ukiwa Tanzania vijiweni Utasikia wazungu walituletea dini ili kutudanganya

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Ukiwa Tanzania vijiweni Utasikia wazungu walituletea dini ili kutudanganyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Angalia haka katoto kakizungu.
Kama hujaokoka hapa utaabika tu.
 
Siku hizi kuhubiri ni sanaa kama sanaa zingine. Kama kuimba, kucheza, stand up comedy nk. Na kama sanaa zingine, wenye talent nzuri wanatajirika vibaya mno na kuwa macelebrity.
 
Endelea kuamini hivyo

Back
Top Bottom