Ukiwa Tanzania vijiweni Utasikia wazungu walituletea dini ili kutudanganyaπππππππππππ Angalia haka katoto kakizungu.
Kama hujaokoka hapa utaabika tu.
Siku hizi kuhubiri ni sanaa kama sanaa zingine. Kama kuimba, kucheza, stand up comedy nk. Na kama sanaa zingine, wenye talent nzuri wanatajirika vibaya mno na kuwa macelebrity.