Ukiwaangalia kwa makini wafuasi wa Trump na wale wa Bobi Wine utagundua kuwa Tundu Lissu hana wafuasi bali mashabiki!

Ulitaka apigwe risasi afe? mbona baba ako hakutokea kwenye maandamano au wewe? mbona Mandela alikimbia? Marekani umewahi kuona police anapiga waandamanaji kama huku?
 
Trump alichochea vurugu na ndio sbbu watu waliingia barabarani. Hebu tusichanganye vitu na uongo....
 
Mleta mada, hivi wewe ni wa jinsia gani? mada zako siku zote zimekaa kiumbea sana tena wa kike wa tandale
Wewe ni shabiki tu wa Tundu Lisu huna ukichaa wowote!

Tuliwaona akina Halima Mdee na makeke yao lakini leo wako wapi?!
 
Wambeki washirikina tupu
 
Kwani

mashabiki na wanachama wa CDM mliwanunua wote ndugu?
Mliona nguvu ya umma wa CDM? kama sio wizi na uporaji mngekuwa wapi!
Nguvu ya CDM tungeiona pale Lissu alipotangaza maandamano baada ya huo wizi na uporaji ila hatukuona huo umma ndio kwanza watu walikuwa bize na shughuli zao, maandamano yaliishia mitandaoni tu.
 
Nguvu ya CDM tungeiona pale Lissu alipotangaza maandamano baada ya huo wizi na uporaji ila hatukuona huo umma ndio kwanza watu walikuwa bize na shughuli zao, maandamano yaliishia mitandaoni tu.
Lisu alikuwa anatembelea nyota ya maalim Seif!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…