Ukiwaangalia kwa makini wafuasi wa Trump na wale wa Bobi Wine utagundua kuwa Tundu Lissu hana wafuasi bali mashabiki!

Watanzania waoneni kama walivyo kilichomkuta yule dada wa marekani mpaka leo alishaamua kuwatazama tu Watanzania. Amebaki kupiga tu umbea mtandaoni.
 
The good thing ni kuwa CCM m'mebaki wenyewe sasa fanyeni mnavyoweza the country belongs to you
 
Wewe hii hela kidogo unayopewa na akina Polepole kwa matumaini eti utateuliwa huku jua likiwa 12 jioni kama na mzee Paschal Mayalla mpaka amekimbia jukwaa
Mnyika hela kidogo anapewa na Halima James Mdee!
 
Mbona title ya Thread inavutia halafu ulichokiandika ni mapupu matupu bro!. Madai ya Trump/Bob Wine/Lissu yanafanana na mbona chadema walijitokeza hadharani kushutumu wizi wa kura uliofanyika, au wewe ulitaka watoke hadharani ya wapi?.
 
Walitoka hadharani ya wapi?
 
Aaaaaaaaahhhhhhhhh!!!!! Nyie mijitu vipi? Dakika moja mnawaita wazungu mabeberu na majina mengine kibao mabaya halafu dakika nyengine mnawatiza hao hao kwa insoiration na kulinganisha na watu au maisha ya nchini kwenu!!? Jipatie uhuru wako wa kimawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…