Ukiwafunga Leeds United ujue jasho limekutoka haswa

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,027
Reaction score
5,344
Hapa naangalia Aston Villa anavyotoka jasho dhidi ya Leeds United.

Hawa vijana wa Marcelo Biesla ndio wananiburudisha kuliko timu yoyote EPL kwa sasa. Japo mie shabiki wa Manchester United ila burudani ipo Leeds.

Hawa ukiwafunga ujue jasho limekutoka haswa.

Liverpool alishinda 4 lakini aliruhusu 3 washukuru penalty ya mwishoni.
Safi Sana.
 
Hii timu ya samata ni kiboko, kijana anaiwakilisha vizuri Tanzania
 
Nakubaliana na wewe. Leeds ndio timu ya kuangalia ...unafurahia uchezani wao.

Movemnets zao safi kasi ya mchezo ipo juu ...easy on the eye. Bielsa kafanya kazi nzuri.
 
Sasa si walisema kuwa qalikuqa hawashindi kwakuwa samatta alikuwa hafungi,kaondoka je wamefunga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…