SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Hapa naangalia Aston Villa anavyotoka jasho dhidi ya Leeds United.
Hawa vijana wa Marcelo Biesla ndio wananiburudisha kuliko timu yoyote EPL kwa sasa. Japo mie shabiki wa Manchester United ila burudani ipo Leeds.
Hawa ukiwafunga ujue jasho limekutoka haswa.
Liverpool alishinda 4 lakini aliruhusu 3 washukuru penalty ya mwishoni.
Safi Sana.