Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Eti Wakuu,
Kwa upande wangu hii ni tabia ambayo huwa hainivutii kwani siyo muumini wa kusoma au kukabiliana na lugha isiyofaa na kwa kweli wakati mwingine mtu mwenye tabia hii hufikia hatua ya kum-block ili nisiendelee kuona vitu vyake anavyoandika mtandaoni vyenye lengo la lugha ya chuki na matusi mtandaoni.
Ukiwaona watu wakieneza chuki na matusi mtandaoni, huwa unachukua hatua gani?