Queen V
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 775
- 1,332
Wakuu kitovu kinawasha tangu juzi. Nimekisafisha vizuri kabisa(hakikuwa kichafu sababu nasafisha daily lakini nimefanya tu just incase) lakini hakijaacha.
Kinawasha kila baada ya muda kidogo na kuacha. Je wakuu hii ina ishara gani? Maana wanasema ukiwashwa mkono utapata pesa, ukiwashwa mguu utapata safari. Kitovu je?