Ukiwashwa mkono utapata pesa, ukiwashwa mguu utapata safari. Ukiwashwa kitovu je?

Ukiwashwa mkono utapata pesa, ukiwashwa mguu utapata safari. Ukiwashwa kitovu je?

Pole sana, afadhali yako. Juzi binamu aliwashwa KALIO LAKE ilikuwa kazi. Sikujuwa MSAADA wa kumpatia!
hahaaa hujajua msaada wakumpatia binamu yko "" umefanya uzembe mkubwa "" arabuni unanyongwa mkuu
 
Back
Top Bottom