Ukiwashwa mkono utapata pesa, ukiwashwa mguu utapata safari. Ukiwashwa kitovu je?

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
775
Reaction score
1,332
Wakuu kitovu kinawasha tangu juzi. Nimekisafisha vizuri kabisa(hakikuwa kichafu sababu nasafisha daily lakini nimefanya tu just incase) lakini hakijaacha.

Kinawasha kila baada ya muda kidogo na kuacha. Je wakuu hii ina ishara gani? Maana wanasema ukiwashwa mkono utapata pesa, ukiwashwa mguu utapata safari. Kitovu je?
 
Pole sana, afadhali yako. Juzi binamu aliwashwa KALIO LAKE ilikuwa kazi. Sikujuwa MSAADA wa kumpatia!
 
Na ukiwashwa kalio itakuaje kama unahofia kitovu
 
Gademmit.....[emoji39] [emoji39]
Njoo nikukune kwa ulimi
 
Upasuaji.
 
Sipati picha ukiwashwa ta.ko[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Labda umepata fangasi tu, mengine ni porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…