johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwanini?!Kamwe Tundu Lissu huwezi kumuweka kapu moja na Gwaji boy.
never on earth!
Kwahiyo akina Pascal Mayalla wasubiri safari ya Marekani?!Ahadi inakuwa ya uongo pale tu isipotimizwa.
Wasubiri tu hakuna namna.Kwahiyo akina Pascal Mayalla wasubiri safari ya Marekani?!
Mbona sera ya Bima kwa wote CCM mna sema ni yenu??? Au tukampige mawe Dr kitila?Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.
Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa..
50M Kila kijiji ilikuwa unabii mkubwa wa uongo!!Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.
Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa...
Gwajiboy yeye ajikite kula za waumini wake!! Mzee wa kufufua mizuka na misukule huko huko...Kawe hii itakwenda kumwadhibu vibaya mno... na kanisa lake kishaligawa ki itikadi...sadaka ishaporomoka.Kamwe Tundu Lissu huwezi kumuweka kapu moja na Gwaji boy.
never on earth!
Uzuri Biblia ilitufunulia njia ya kuwatambua hawa manabii wa uongo. "Mtawatambua kwa matunda yao". Kama anaahidi demokrasia, jiridhishe kwamba ni mtu wa demokrasia kwa kutazama huko anakotoka.Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.
Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa....
Hakika mkuu!Uzuri Biblia ilitufunulia njia ya kuwatambua hawa manabii wa uongo. "Mtawatambua kwa matunda yao". Kama anaahidi demokrasia, jiridhishe kwamba ni mtu wa demokrasia kwa kutazama huko anakotoka.