Hapo kwenye ujuaji ndo hatari zaidi hata uyo Steve ni chawa wa grade A Kuna yake ameyalenga....Mkuu ni vile hujawahi kufanya kazi na hawa wasanii hapa nchini.
1. Kwanza ni much know na pia huwa hawana ushirikiano.
2. Ni wepesi kulalamika mitandaoni ili tu kujionesha kuwa wapo na uelewa na baadhi ya mambo kumbe si kweli.
3. Wengi hawajui wajibu wao kwa mamlaka zinazowasimamia au mashirikisho yao.
4. Ni waongo, wanafiki na wazandiki.
5. Wakiitwa kutoa maoni juu ya wanachotaka hawatokei na ukitekeleza basi watakujia juu mitandaoni.
6. Wasanii wana mashirikisho au vyama mbalimbali, uliza ni wangapi wapo huko kwenye mashirikisho?
7. Wengi hawana elimu juu ya haki zao na kutokana na kujifanya wajuaji, huwa hawana habari na kutafuta ukweli wa haki zao iwe kwa wanasheria au kwa mamlaka za serikali.
Suala la mirabaha na uteuzi wa Steve Nyerere ni ushuhuda juu ya haya yote..
Mkuu usiombe ukawa kwenye nafasi ya kuwasimamia hawa watu, na wanapokosea huwa hawataki kuonekana wamekosea ila utakuta tu habari mtandaoni kuwa umewafanyia ubaya. Hawa watu ni hatari sana, ninajua ugumu anaoupitia Fid Q na tumwombee kwa Mungu amtie nguvu na hekima zaidi
Haya uliyoyasema ni mambo ya kawaida kwa mkusanyiko kama wa kwao.Mkuu ni vile hujawahi kufanya kazi na hawa wasanii hapa nchini.
1. Kwanza ni much know na pia huwa hawana ushirikiano.
2. Ni wepesi kulalamika mitandaoni ili tu kujionesha kuwa wapo na uelewa na baadhi ya mambo kumbe si kweli.
3. Wengi hawajui wajibu wao kwa mamlaka zinazowasimamia au mashirikisho yao.
4. Ni waongo, wanafiki na wazandiki.
5. Wakiitwa kutoa maoni juu ya wanachotaka hawatokei na ukitekeleza basi watakujia juu mitandaoni.
6. Wasanii wana mashirikisho au vyama mbalimbali, uliza ni wangapi wapo huko kwenye mashirikisho?
7. Wengi hawana elimu juu ya haki zao na kutokana na kujifanya wajuaji, huwa hawana habari na kutafuta ukweli wa haki zao iwe kwa wanasheria au kwa mamlaka za serikali.
Suala la mirabaha na uteuzi wa Steve Nyerere ni ushuhuda juu ya haya yote..
Mkuu usiombe ukawa kwenye nafasi ya kuwasimamia hawa watu, na wanapokosea huwa hawataki kuonekana wamekosea ila utakuta tu habari mtandaoni kuwa umewafanyia ubaya. Hawa watu ni hatari sana, ninajua ugumu anaoupitia Fid Q na tumwombee kwa Mungu amtie nguvu na hekima zaidi
Tatizo waliopo nje ya ulingo ndio wanafiki wa kutupwaa. Ikifika muda wa kuwapata wawakilishi hujificha au hugoma kujitokeza hivyo hukaa kuviziq aliyepo madarakani akosee au afukue makaburi kuonesha kiwa hafai. Hii ni sehemu kubwa ya sisi Watanzania mkuu, tena hawa ni watu hatari sana kwani huwa hawataki kujihusisha na michakato rasmi kwa namna yoyote ila wapo standby kunyoosha vidoleTatitizo la watanzania tumeshazoe akili ndogo ziwe zinaongoza akili kubwa,yaani kuanzia Rais,Mawaziri,Wabunge,mpaka huko chini,hawakutakiwa kuwepo hapo walipo,akili zao ni ndogo sana.
Walioko inje ya ulingo ndiyo ilibidi watuongoze wanainchi wao,lakini inchi imekaa kichawachawa tu,
Nakuelewa sana mkuu, shida ni kuwa wanaongea hivyo nyuma ya keyboards za simu zao ila ukiwaambia mje tukutane, tupange na kuamua agenda zetu aisee HAWAJIII.Haya uliyoyasema ni mambo ya kawaida kwa mkusanyiko kama wa kwao.
anahitajika kiongozi ambaye haji kulalamikia haya au kuyaendeleza bali mtu ambaye atakuja kufanya kazi kuziba mapungufu haya wapate faida katika muziki wao.
ukitazama mfano WCB, diamond asingefanya kitu kama asingepata meneja wa kumsimamia na kumuelekeza pita hapa na pale. Yaani anachokifanya kuna watu wanachora ramani ya hicho na hilo ndilo wasanii wanahitaji, watu wa kuchora ramani na siyo watu wenye hulka kama zao
Vigezo ambavyo steve hana na babu tale pia hanaNiwapongeze wasanii wachache wenye upeo wa kutambua kuwa wao wanafanya kazi za sanaa lakini wanahitaji watu makini wa kusimamia shughuli zao. watu ambao watawaletea mabadiriko ya kimaendeleo.
Wapo wasanii wachache wenye upeo wanaotaka kutafuta watu wa ku " compliment" madhaifu nayo na kutengeneza strong organization ambayo itawahakikishia matunda mazuri kwenye sanaa zao
Hongereni sana
Kichekesho ni kuwa ukiwauliza wasanii wanaomkataa Steve kuwa wanamtaka nani HAKUNA AMBAYE AMEJIBU yaani hii tasnia aisee ndio kwa mara ya kwanza nilikutana na watu wenye PhD za fitna, uchonganishi na roho mbaya aiseeVigezo ambavyo steve hana na babu tale pia hana
Huwez kupendekeza mtu inabidi mwenye sifa ajipime then agombeeKichekesho ni kuwa ukiwauliza wasanii wanaomkataa Steve kuwa wanamtaka nani HAKUNA AMBAYE AMEJIBU yaani hii tasnia aisee ndio kwa mara ya kwanza nilikutana na watu wenye PhD za fitna, uchonganishi na roho mbaya aisee
Ndugu yangu usiongee kwa mihemuko, jaribu kuelewa madaVigezo ambavyo steve hana na babu tale pia hana
hiki unachokiongea kinaonyesha udhaifu mkubwa wa kutoelewa wanachokitaka wasanii lakini wewe ndiye unawacheka.Kichekesho ni kuwa ukiwauliza wasanii wanaomkataa Steve kuwa wanamtaka nani HAKUNA AMBAYE AMEJIBU yaani hii tasnia aisee ndio kwa mara ya kwanza nilikutana na watu wenye PhD za fitna, uchonganishi na roho mbaya aisee
Hukunielewa tu ila mlengo wako ndio huohuo nilioulenga mmNdugu yangu usiongee kwa mihemuko, jaribu kuelewa mada
ninachokisema ni kwamba baba tale na salamu sisemi wao ndiyo wawe wasemaji bali babu tale na salam wao nimewatumia kukuonyesha kazi wanayoifanya kwa diamond platinum. wamemfikisha wapi?
wasanii wanahitaji watendaji wa kunyanyua sanaa yao kutoka ilipo sasa ambapo ni kama hatua aliyokuwepo diamond platinum miaka hiyo. Leo wamemfikisha wapi ndiko watu wanaotakiwa kutumiwa na wasanii watazame tasnia ya muziki yote ipande hivyo.
Sasa steve ni mtu wa aina kama ya haji manara, wao ni wahamasishaji, kutangaza jina. Mtu wa kusema maneno mengi. hawa ni watu wanaofaa kwenye vilabu vya mpira kuhamasisha mashabiki, kwenye makampuni kuhamasisha wateja lakini umoja wa wasanihii unahitaji watu wa mipango itakayokuja kunufaisha industry kwa pamoja.
ukiwasikiliza wasanii kwa makini utaelewa wapo wenye upeo wanaojua kazi za umoja sio kuhamasisha kutangaza jina la umoja lakini wawe watu ambao wanaweza kuchungulia sheria zina mapungufu gani wakapendekeza, wawe ni watu wanaoweza kuangalia huko nje kinafanyika nini kwa wasanii kilichwaendeleza wakajaribu kukopi, wawe ni watu wanaoweza kutazama fursa za kibiashara kama uingiaji mikataba mbalimbali wakashauri.
shida nyinyi mnatazama mtu wa kupiga kelele kwenye vyombo vya habari na hiyo kazi steve anaiweza lakini wao wanaona hawatafuti mtu wa kufanya hivyo bali mtu wa kuwa mtendaji kufanya wasiyoyaweza wao
Ngosha wakihaya - Fid Q kapatwa na niniMkuu ni vile hujawahi kufanya kazi na hawa wasanii hapa nchini.
1. Kwanza ni much know na pia huwa hawana ushirikiano.
2. Ni wepesi kulalamika mitandaoni ili tu kujionesha kuwa wapo na uelewa na baadhi ya mambo kumbe si kweli.
3. Wengi hawajui wajibu wao kwa mamlaka zinazowasimamia au mashirikisho yao.
4. Ni waongo, wanafiki na wazandiki.
5. Wakiitwa kutoa maoni juu ya wanachotaka hawatokei na ukitekeleza basi watakujia juu mitandaoni.
6. Wasanii wana mashirikisho au vyama mbalimbali, uliza ni wangapi wapo huko kwenye mashirikisho?
7. Wengi hawana elimu juu ya haki zao na kutokana na kujifanya wajuaji, huwa hawana habari na kutafuta ukweli wa haki zao iwe kwa wanasheria au kwa mamlaka za serikali.
Suala la mirabaha na uteuzi wa Steve Nyerere ni ushuhuda juu ya haya yote..
Mkuu usiombe ukawa kwenye nafasi ya kuwasimamia hawa watu, na wanapokosea huwa hawataki kuonekana wamekosea ila utakuta tu habari mtandaoni kuwa umewafanyia ubaya. Hawa watu ni hatari sana, ninajua ugumu anaoupitia Fid Q na tumwombee kwa Mungu amtie nguvu na hekima zaidi
Mkuu wewe unasema haya ni kwa kuwa nawe pia kama walivyo wasanii wengi hawaijui hata hiyo katiba ya shirikisho😂😂😂😂😂 mamlaka waliyonayo wakuu wa shirikisho yanawaruhusu kabisaaa kuteua mtu watakayeona anafaa.Huwez kupendekeza mtu inabidi mwenye sifa ajipime then agombee
Tuambie mkuu ulikuwa unamsimamia msanii gani yakakukuta haya
Ninakubaliana na mtazamo wako pia mkuu. Naomba nikuulize swali moja tu, jana kuliitishwa mkutano wa wasanii je unajua wasanii waliohudhuria ni wangapi? Ukishajua njoo hapa useme mimi siwaelewi wanachotakahiki unachokiongea kinaonyesha udhaifu mkubwa wa kutoelewa wanachokitaka wasanii lakini wewe ndiye unawacheka.