- Thread starter
- #21
Ndo ishakua hvi sasa,kasema hatokiView attachment 2160455
Achana na mambo ya mahudhurio, kinachofanya kazi siyo mahudhuri ni kuwa na chombo chenye watendaji wanaofanya kazi basi.Ninakubaliana na mtazamo wako pia mkuu. Naomba nikuulize swali moja tu, jana kuliitishwa mkutano wa wasanii je unajua wasanii waliohudhuria ni wangapi? Ukishajua njoo hapa useme mimi siwaelewi wanachotaka
haya mambo ya sijui ukiitisha mkutano wanakuja wachache ni hoja za watu vipofu, unaitisha mkutano leo unasema kesho tukutane sehemu unataka watu wakatize ziara zao n.k
kitu kikubwa ni kuwa na watendaji na ikiwezekana kila msanii achangie gharama za kuwalipa hawa watendaji na kila msanii anufaike na kuwepo watendaji. Mikutano inaweza kufanyika hata kwa technolojia, unaweza hoja online na kila mtu anatoa mawazo yake.
ni hulka za udikiteta kudhani watu nikisema kesho tukusanyike sehemu lazima wote waje na wasipokuja kwamba kiwe kigezo cha kuwapelekesha utakavyo na siyo kwa faida yao