Mada zingine bana, hadi kichwa kinauma baada ya kuzisoma. Eti wasanii wa Kenya wanalalama kwamba hawapewi airtime Tz. [emoji15] Mungu wangu! Haya ndio madhara ya kuvutia bange chooni.Acha kutafuta attention!!
Mada zingine bana, hadi kichwa kinauma baada ya kuzisoma. Eti wasanii wa Kenya wanalalama kwamba hawapewi airtime Tz. [emoji15] Mungu wangu! Haya ndio madhara ya kuvutia bange chooni.
Mnapenda sana kuwashobokea wakenya kwa kujitungia tantarira ambazo hazina mashiko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]najua umeshangaa vile unajua hata wao hawawezi demand since wanajua hawana viwango.
Hahaha eti wasingelifika walipo isingelikuwa ni media za tz lol.NimemshangaaMada zingine bana, hadi kichwa kinauma baada ya kuzisoma. Eti wasanii wa Kenya wanalalama kwamba hawapewi airtime Tz. [emoji15] Mungu wangu! Haya ndio madhara ya kuvutia bange chooni.
The Bugz,P-Unit naona wamepotezewa sana!!Wasalaam!
Naomba majibu ya hili swali maana nawashangaa wanapo lalamika kuwa media za tz haziwapi air time wakati wasanii wao kwanza ni wachache sana na ni wale wale na wasingelifika walipo kama insingelikuwa ni media za Tanzania......
Bado najiuliza..
Sent using Jamii Forums mobile app