Ukiwatoa Saut Sol;Nyashinski na Kaligraph ni wasanii gani kutoka Kenya wanastahili kulalama kuwa hawapati airtime kwenye media Tanzania?

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam!

Naomba majibu ya hili swali maana nawashangaa wanapo lalamika kuwa media za tz haziwapi air time wakati wasanii wao kwanza ni wachache sana na ni wale wale na wasingelifika walipo kama insingelikuwa ni media za Tanzania......

Bado najiuliza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada zingine bana, hadi kichwa kinauma baada ya kuzisoma. Eti wasanii wa Kenya wanalalama kwamba hawapewi airtime Tz. [emoji15] Mungu wangu! Haya ndio madhara ya kuvutia bange chooni.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]najua umeshangaa vile unajua hata wao hawawezi demand since wanajua hawana viwango.
 
Mnapenda sana kuwashobokea wakenya kwa kujitungia tantarira ambazo hazina mashiko.
 
Wasalaam!

Naomba majibu ya hili swali maana nawashangaa wanapo lalamika kuwa media za tz haziwapi air time wakati wasanii wao kwanza ni wachache sana na ni wale wale na wasingelifika walipo kama insingelikuwa ni media za Tanzania......

Bado najiuliza..

Sent using Jamii Forums mobile app
The Bugz,P-Unit naona wamepotezewa sana!!
 
Back
Top Bottom