Ukiweka ushabiki pembeni hapa Haji S. Manara umeongea Ukweli

Ukiweka ushabiki pembeni hapa Haji S. Manara umeongea Ukweli

yamindinda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
1,581
Reaction score
1,318
Pamoja na ushabiki hapa Haji S. Manara umeongea ukweli mweupe...ni mchungu ila ndio ukweli......kama mabadiliko ya mifumo ya uendeshaji wa hizi Club zetu kubwa mbili yasipofanyika hili linalowakuta Yanga litakuwa ni jambo la kupokezakana tuuuu......well said.

 
Back
Top Bottom