Ukiweka ushabiki pembeni; Wanaume tumeumbwa ili kupiga bao moja tu kama kuku wafanyavyo na kusepa

Eeh ukiwa relaxed unaweza freshi kabisa! Ila sio ile ya kukamia unapiga hupumziki. Ndio maana nikasema uanze mchana mpaka panakucha next day!
Af demu uwe na hisia nae sana
 
Mkuu umenena vema kabisa yaani una akili wewe nitakupa zawadi ya kichwa cha kitimoto ukapike unywe supu
 
Kwa xperience yangu,kupiga mshindo mmoja au zaidi inategemea na hisia za mwanaume kwa wakati huo.
Kuna mambo mengi yanayoongeza hisia kwenye mapenz hivyo inategemea upo katika hisia gani.
Mambo yanayoongeza hisia kwangu mimi ni pamoja na usafi,kujituma,kufika kileleni kwa Ke,hali ya vagi..na (kavu huwa hisia zinakata),Mwonekano wa Umbo,vyakula pamoja na maji(Nikiwa nina njaa huwa bao moja tu),Mazingira(Nyumba za wageni huwa na makelele),Majibu ya vipimo(Kama hatujapima,nitakuandaa vizuri kisha bao moja la haste haste kisha lingine badae baada ya maandalizi n.k.
 
Tunakoelekea hili swala inabidi liingie kwenye katiba mpya!!! Aliepitisha maamuzi vifungashio vya kufanyia viwe vitatu hakua boya.....ni hivi kimoja hakikubaliki mambo ni kuanzia vitatu vya kibabe
Kwani unaponunua gari lenye seat 5, Huwa Unazikalia zote wewe kwa pamoja?
 
Wanataka tuwaambie kwa herufi kubwa ndo watuelewe[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Mnataka bao nyingi jaribuni mjue na nakutongoza nanyie!
Siyo mnariinga kumbe kinawawasha!
Tongezeni na nyie muone ugumu wa kusaundisha!
 
Mkuu, nakupendekeza kwa Mama Samia akupe uwaziri wa Afya ya wanaume. Naunga mkono hoja yako.
 
Mnataka bao nyingi jaribuni mjue na nakutongoza nanyie!
Siyo mnariinga kumbe kinawawasha!
Tongezeni na nyie muone ugumu wa kusaundisha!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaa bhana

Iko hivi sisi nye..ge zetu ziko mbali sana tofauti na zenu

Mnapotutongoza tunakuwaga hatuna hata hizo nyenge nyie ndo mnazileta

sasa kutokana na kuwa tatizo la ukosefu wa nguvu limeshamiri badala ya kutupa kitu roho inapenda,

Mnaanza mara oooooh kwa asili mmeumbiwa mpige kimoja tu kama jogoo

Mara ooh tendo liliwekwa kwa ajili ya mimba tu,wanaopiga vingi wanataka sifa

Waacheni waliojaliwa na mwenyezi Mungu watupe raha,msiwasakame

Kuna wanaume wajuzi wa mambo,kiasi kwamba akikukumbatia tu joto la mwili linapanda 100°C
Sikilizia sasa hiyo shoo ikianza hapo[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Aaaah mkuu unahamasisha wakwende kimoko kweli???[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Mungu akuongezee nguvu za kiume bwana hata wewe hukupenda kuwa hivyo ni hali tu imetokea!!
 
Aniongezee wakati ninazo za kutosha, kwanini usiseme awapunguzie nyie muwasho? Wamasai waliliona hili mapema wakaanza kuwakeketa!

Mi nazani hapa wanaume tuwe na msimamo, bao moja linatosha,
Tukiwaendekeza hawa ndiyo maana corona inauwa wanaume zaidi,
Kwasababu wanakuwa wamechoka kwa kufanya mabao mengi kiasi cha kuishiwa kinga mwilini uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…