Ukiwekeza 20M, return inabidi iwe ndani ya muda gani?

Inategemea Umeamua kuchagua biashara gani na unaingiza ngap kwa siku maana kwa akil za vijana wa kitz atakmbilia kufungua duka la nguo ila kwa akili za waarabu atanunua ata coaster mbovu siti 30 au 40 aipange Mwanza- kahama kwa siku akitoa gharama zote 170-220 hakosi miez6 tu au 8 hela imerudi biashara za hawa jamaa hela inarudg ndan ya mwaka tu ila wabongo paka uhangaike miaka mitano au mitatu
 
Wakuu,
Ukiwekeza 20m kwenye biashara yoyote ile, minimum period ya return inabidi iwe lini?
Yani mtaji inabidi urudishe ndani ya muda gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na biashara uliochagua, hukusoma payback period nini mzee kwenye financial management?
"Value of money today will not be the same for tommorrow"
 
Yeah akili za mmbongo ndio hizo hizo kama ulikuwepo, atalaza hela yote kwenye viatu, jeans tshirt n.k. Duka flani kubwa ila anachokipata ni faida kidogo sana kwa mwaka.

Mi huwa kwenye investment naangalia ratio ya returns on investment.Siwezi kuwekeza katika biashara yeyote ya kunirudishia chini ya 70% of the investment ndani ya miezi 6, yani imepungua sana basi ni 50% ya mtaji iwe imerudi!
 
Wakuu,
Ukiwekeza 20m kwenye biashara yoyote ile, minimum period ya return inabidi iwe lini?
Yani mtaji inabidi urudishe ndani ya muda gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemeana na aina ya biashara,ukiwekeza 20m kwenye forex baada ya mwezi utakupata kima cha chini ambacho ni 20m lakn ukiweza kwenye kulima mpunga itategemeana na hali ya hewa kwani unaweza usipata chochote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa biashara ya mikopo ambayo riba ni 12percent kwa mwezi return itakuwa ndani ya miezi 9 utakuwa umepata hela yako yote ila masharti lazima yazingatiwe.
Ni faida kiasi gani uko tayari kuchukua kwa kila bidhaa moja unayozalisha baada ya kutoa gharama zote za uzalishaji, kodi, wages na usambazaji ?
 
Wewe binafsi uko tayari kuchukua faida ya kiasi gani kwa kila bidhaa unayouza baada ya kutoa gharama zote za uzalishaji, mishahara, kodi na usambazaji ?
 
Duka la spea za magari used from japan unalionaje mkuu,kuna mwana anataka kufungua.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duka la spea za magari used from japan unalionaje mkuu,kuna mwana anataka kufungua.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi huwa kwenye investment naangalia ratio ya returns on investment.Siwezi kuwekeza katika biashara yeyote ya kunirudishia chini ya 70% of the investment ndani ya miezi 6, yani imepungua sana basi ni 50% ya mtaji iwe imerudi!
Mkuu tunaomba ututajie japo biashara 2 tu ili nasi tukakope tuanzishe.
 
Ni faida kiasi gani uko tayari kuchukua kwa kila bidhaa moja unayozalisha baada ya kutoa gharama zote za uzalishaji, kodi, wages na usambazaji ?
12% ni hela yako ya mfukoni maana yake hapo ni zaidi ya 12% iyo ziada ndio niliweka kwenye hesabu za kulipia wages, kodi na admin coast.
 
Inategemea mkuu kwa uwekezaji wa mtu mfano nikiongelea upande wangu mimi ndani ya miezi 10 itakuwa imerudi hapo sijaamua kukaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…