Ukiwekeza 20M, return inabidi iwe ndani ya muda gani?

Ukiwekeza 20M, return inabidi iwe ndani ya muda gani?

12% ni hela yako ya mfukoni maana yake hapo ni zaidi ya 12% iyo ziada ndio niliweka kwenye hesabu za kulipia wages, kodi na admin coast.
Unamaanisha asilimia 12 ni pesa yako ya mfukoni na kurudisha gharama za uzalishaji zitakuwa na asilimia yake ?
 
Kuna vitu vinalipa katika biashara yaani ukiwekeza na kusimamia vizuri lazima uone return in very short time chakula au vinywaji vikali ukiweka hiyo pesa huko itarudi vizuri tu
 
Inategemea Umeamua kuchagua biashara gani na unaingiza ngap kwa siku maana kwa akil za vijana wa kitz atakmbilia kufungua duka la nguo ila kwa akili za waarabu atanunua ata coaster mbovu siti 30 au 40 aipange Mwanza- kahama kwa siku akitoa gharama zote 170-220 hakosi miez6 tu au 8 hela imerudi biashara za hawa jamaa hela inarudg ndan ya mwaka tu ila wabongo paka uhangaike miaka mitano au mitatu
Umejibu vizuri ila kwa experience yang, the earlier the return, the more the risk. Wabongo hatupend risk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilifanikiwa mkuu ila sio partner amenipa mkopo na nimeanza kurejesha nategemea mwezi wa pili ntakuwa nimemaliza.kheri ya mwaka mpya kwako pia

Nakutakia kila la kheri, mipango yako ifanikiwe.
 
Mawazo kama haya UWE MAKINI SANA faida yake ni kukupa moyo wa kujitosa lakini ki uhalisia sio rahisi kiasi hicho, Biashara sio rahisi hivyo.
 
Wewe binafsi uko tayari kuchukua faida ya kiasi gani kwa kila bidhaa unayouza baada ya kutoa gharama zote za uzalishaji, mishahara, kodi na usambazaji ?
Itategemea na bidhaa yenyewe ila minimum ni 50%. Mfano bidhaa iwe 1000 ambayo mi nitaiuza 1500. Sio biashara ya vocha unauza 500 unapata 50 hio ndio aina ya uwekezaji ambao siupendelei
 
Yeah akili za mmbongo ndio hizo hizo kama ulikuwepo, atalaza hela yote kwenye viatu, jeans tshirt n.k. Duka flani kubwa ila anachokipata ni faida kidogo sana kwa mwaka.


Mi huwa kwenye investment naangalia ratio ya returns on investment.Siwezi kuwekeza katika biashara yeyote ya kunirudishia chini ya 70% of the investment ndani ya miezi 6, yani imepungua sana basi ni 50% ya mtaji iwe imerudi!
You must be very rich now....70% return in a business congrats!
 
Inategemeana na aina ya biashara,ukiwekeza 20m kwenye forex baada ya mwezi utakupata kima cha chini ambacho ni 20m lakn ukiweza kwenye kulima mpunga itategemeana na hali ya hewa kwani unaweza usipata chochote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuoneshe Forex uliofanya ukiwekeza 20m baada ya mwezi ukapata 20m. Nyinyi watu wa Forex kila siku mnasema ukiwekeza milioni hizi baada ya mwezi unapata 20,30 or 50m ila mkiweka screenshot ni za $100/$200 hela ambayo mtu wa Kariakoo anapata kwa muda mfupi sana.
 
Inategemea Umeamua kuchagua biashara gani na unaingiza ngap kwa siku maana kwa akil za vijana wa kitz atakmbilia kufungua duka la nguo ila kwa akili za waarabu atanunua ata coaster mbovu siti 30 au 40 aipange Mwanza- kahama kwa siku akitoa gharama zote 170-220 hakosi miez6 tu au 8 hela imerudi biashara za hawa jamaa hela inarudg ndan ya mwaka tu ila wabongo paka uhangaike miaka mitano au mitatu
Nauli ni elfu 10 mkuu, utajua hiyo njia sasa ina kampuni ngapi!? Afu kila Saa Kuna basi.
 
Back
Top Bottom