Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza.
Uoga wa kumpoteza utakufanya kushusha chini standards zako na kupuuzia red flags unazoziona kutoka kwake.
Iwe kumsomesha, kumfungulia biashara mwanamke n.k, usifanye ilo kosa, kwa sababu utakua mateka wa wema wako. Mawazo ya kufanya maamuzi ya kiume yatazidiwa uzito na uwekezaji wako ulioufanya
Don't try hard to force yourself on her, don't try too hard to impress her. It will end in tears, when it comes to their interests women are brutal and ruthless.
Kuna masimp wengi tu uko mtaani wana uwezo wa kumpa mara mbili ya hayo unayompa wewe.
Kuna maisha mengine nje ya mahusiano, kuna maisha mengine nje ya huo upwiru wako wa dakika 10.
Be smart men, don't build your life around a woman because the fear of losing her will enslave you and make you lose your dignity, and that the moment you will be a qualified simp