Ukiwekwa kwenye friend zone toka nduki fasta

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Uyo mwanamke unaemtaka akikuweka kwenye friend zone jua kwamba hakupendi. Ukikubali kukaa hapo bila kunufaika na chochote utapata tabu sana.

Usikubali kuwa nice guy ambao huwa wanakubaliwa dakika za mwisho mwanamke ashakua demaged, aged, destroyed, traumatized, broken and lost. You are not rehabilitation centre.

Achana na hayo matumaini yako kwamba ukijitoa zaidi kwake au ukimfanyia wema atabadilisha maamuzi.

Ukweli ni kwamba hatobadilisha maamuzi yake na hata kama akiamua kukubalia kwa kukuonea huruma basi utakua mtumwa wake katika hayo mahusiano.

Once she is not interested count your loss and move on immediately, otherwise she will use you as a leverage. Understand that in this women thing you will lose some and win some.
 
Ila mbususu si anakupa atakama hakupendi....... dhumuni ni kula utelez sio kupendwa alafu ukiona mwanaume anataka kupendwa kua naye makini sana.......
Ishu sio kupewa mbususu ishu ni kwamba unapewa mbususu katika mtazamo upi? Don't sacrifice your manhood for the sake of kupewa mbususu.
 
Mkuu kama unatongoza mwanamke ili akupende ipo siku maji utaita uji......
Ofcourse mwanamke yupo kimasilahi ilo nalitambua but what am talking about is akupe mbususu because she feel you deserve to fvck her sio kwa kukuonea huruma baada ya kukaa hapo kwenye friend zone kwa muda mrefu.

Demu akileta mambo mengi abort mission, don't be pussy driven.

Don't beg, negotiate.
 
Nimemaliza konyogi ya kati saivi ni Opoe barmed nikasuzike by saa5 naenda home with really hangover

Byeee mazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…