Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Uyo mwanamke unaemtaka akikuweka kwenye friend zone jua kwamba hakupendi. Ukikubali kukaa hapo bila kunufaika na chochote utapata tabu sana.
Usikubali kuwa nice guy ambao huwa wanakubaliwa dakika za mwisho mwanamke ashakua demaged, aged, destroyed, traumatized, broken and lost. You are not rehabilitation centre.
Achana na hayo matumaini yako kwamba ukijitoa zaidi kwake au ukimfanyia wema atabadilisha maamuzi.
Ukweli ni kwamba hatobadilisha maamuzi yake na hata kama akiamua kukubalia kwa kukuonea huruma basi utakua mtumwa wake katika hayo mahusiano.
Once she is not interested count your loss and move on immediately, otherwise she will use you as a leverage. Understand that in this women thing you will lose some and win some.