sunguramjinga
Senior Member
- May 11, 2023
- 175
- 227
Kwa muda mrefu sasa nimekua nikifanya tafiti juu ya uelewa wa mpira wa mashabiki wa simba, na mambo niliyagundua ni yafuatayo
1) Wengi wao mpira wameanza fatilia 2019
2) Wengi wao dish zimeyumba
3)Wengi wao much know
4) Wenye akili wanajitoa ufahamu
5) Wengi wanabishia uzoefu
6) Watu wakujikweza
7) Wanaridhika na mafanikio yasio na umuhimu mfano; kumfunga al ahly, kaiser chief, rs berkane, wyday na nyingne kubwa kwa mkapa.
8) Kudanganywa au kuaminisha uongo na viongozi wao ni rahisi mno kama kumsukuma mlevi
9)Wanapenda kusifia na page mbalimbali za michezo kwamba wao ni timu kubwa sawa sawa na Tp mazembe na magiants wengne wa wakiarabu
10) Wanapenda kufa kiume hakubali kwenye kujipanga na kupambana