Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Maisha ya mtu na mtu hapa duniani na utawala wa nchi, unamahusiano sana na Mungu ni nani kwetu.
Isaya 49:15
Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe.
Mungu anasema hawezi kukusahau wewe, pia upendo wake kwako kwa kufikiria ni zaidi ya mama ampendavyo mtoto wake anyonyae.
Mahusiano ya kimapenzi mke na mume.
Yeremia 3:9-10
[9]Hata ikawa, kwa sababu alikuwa mwepesi wa kufanya ukahaba, nchi ikatiwa unajisi, naye akazini na mawe na miti.
[10]Na pamoja na hayo yote dada yake, Yuda mwenye hiana, hajanirudia mimi kwa moyo wake wote, bali kwa unafiki, asema BWANA.
Mungu ni mume na binadamu ni mke, ni jinsi gani inauma sana kwa mwanaume kuona mke wake aliyempenda sana na kuzaa nae watoto anakwenda kuwa kahaba na kujiuza kama choo cha kulipia.
Inauma sana, kinababa najua mnanielewa, mke akafanywe nje huku ana na mimba yako juu.
Acha kuvaa hirizi, acha kutegemea majini na kutoa kafara kwa miungu, unamkasirisha sana Mungu.