Ukiweza kuona watu 7 na Paka...

Paka yuko chini kabisa kona ya kulia.
Watu watatu wako juu kona ya kushoto.
Wengine watatu wako wamezunguka hicho kinachoonekana kama kigari cha mwaka 80
Kuna bata hapo nimemuona naomba ubainishe alipo pia
 
Mm nimeona lakini kama siyo paka
 
Paka yuko chini kabisa kulia.

Watu wawili wapo juu kushoto.

Mtu mmoja yupo juu katikati amekaa chini.

Watu watatu wamezunguka hicho kigari

Mtu mmoja yupo pemben ya hicho kigari kulia n mwanamke.

Jumla saba na paka mmoja.
 
Paka yuko chini kabisa kona ya kulia.
Watu watatu wako juu kona ya kushoto.
Wengine watatu wako wamezunguka hicho kinachoonekana kama kigari cha mwaka 80
Kuna bata hapo nimemuona naomba ubainishe alipo pia
Watu wawili kushoto (Ke na Me), katikati kwa juu mmoja aonekanaye kama Me, kwenye gari wako Me wawili na Ke wawili (Watu wanne).

Paka chini kulia.

Katikati kwa chini ni kweli kama ni bata hivi lakini sina uhakika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…