Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Vipi The Boss kwani mama bosi hakukuzungusha?mhhhhhhhhhhhh......
Kwa wale ambao ni so experienced kwenye masuala ya uwindaji, hebu tugawane haya mauzoefu.
Mara nyingi mwanamke akikusumbua sana kukupa uroda, siku akija kukupa Unakuta sicho ulichotarajia kukikuta ukilinganisha na usumbufu uliopata na hiyo hupelekea mapenzi yasidumu hata kwa sekunde moja.
Ina maana wanazungusha huku wakijua udhaifu wao, au ni ile wasionekane wanagawa hovyo, mimi sielewi,
Miezi sita mtu unaomba utafikiri unaomba kazi!!!!!![/QUOTE
Sasa wewe kama siyo uroho na ujuha kwa nini ufuatilie miezi sita yote??? Kwani wengine unakuwa huwaoni??? Una muda sana wa kupoteza wewe!!
Tamaa tu zinawasumbua!!!
Kama ni uroda tu ulikua unataka siukanunue?! Maana kama kuna la ziada ulipenda kwake huwezi ukawa unafikiria uroda tu mpaka akifeli unakosa uvumilivu wa kumfundisha ili nae awe mtaalamu na kukimbia!!
Taratibu Lizzy, kwani wanawake hawana tamaa?
Unapomfuatilia mtu kwa muda mrefu huku ukifahamu kwamba kuna wanawake wanajiuza basi hapo ni zaidi ya uroda. Lakini uroda ni sehemu ya mapenzi so huwezi kuvitenganisha.
Yeye ameongelea wanaume kwahiyo siwezi kumbadilishia lengo lake!!Ukweli ni kwamba huwezi ukamfuatilia mtu miezi kadhaa kwa lengo la kujaribu kujenga mahusiano nae alafu mapungufu ya kitandani ndo yakakukimbiza wakati yanafundishika.
<br />mhhhhhhhhhhhh......
Ni wanaume wangapi wanaoweza kuthubutu kuwafundisha wapenzi wao hayo maujanja? Wakati mwingine unaweza kuthubutu kujaribu kumfundisha kibao kikakugeukia, maswali yanaanza we ulijuaje na mambo mengine kama hayo, kwahiyo akina dada mjitahidi kujifundisha mautundu.
Kwa wale ambao ni so experienced kwenye masuala ya uwindaji, hebu tugawane haya mauzoefu.
Mara nyingi mwanamke akikusumbua sana kukupa uroda, siku akija kukupa Unakuta sicho ulichotarajia kukikuta ukilinganisha na usumbufu uliopata na hiyo hupelekea mapenzi yasidumu hata kwa sekunde moja.
Ina maana wanazungusha huku wakijua udhaifu wao, au ni ile wasionekane wanagawa hovyo, mimi sielewi,
Miezi sita mtu unaomba utafikiri unaomba kazi!!!!!!
<br />Kama hujaoa na unayemwomba hutaki kumwoa usimg'ang'anie na kumfuata unamuomba yeye tu kila siku maana atakuumiza kisaikolojia. Kimsingi hii ni kama business, mteja huyu akigoma ukikaa naye muda mrefu atakupotezea muda na nguvu zako pia. Jaribu kufikiri kama ingetokea mmachinga akikung'ang'ania siku nzima wewe akuuzie suruali hata ikija kutokea umenunua kwani unanunua nguo zake zote?, utanunua suruali ama shati moja basi, atakuwa amepoteza muda mrefu kwa faida ndogo kupita kiasi. Kwahiyo ukimwomba mara mbili tatu hataki songa mbele uokoe muda wako na nguvu kidogo ulizonazo, vinginevyo una muda na nguvu za kuchezea. Unaomba miezi sita kitu ya kutumia nusu saa au lisaa? Unaomba miezi sita wakati ukipewa unayepoteza nguvu ni wewe? Unaomba miezi sita wakati hujui unachokiomba kikoje? Wakati wote huo wa miezi sita unapoomba umasikini unaongezeka maana unatumia hela kuomba na hufanyi kazi vizuri maana akili imeshikwa, ukija kupewa ndio unatakiwa ugharamie zaidi??????? Huo ni upunguani... nikupe mbinu rahisi. 1 - Oa, 2 - omba muda mfupi, hujapewa songa mbele atayekupa huenda hata akaipa akili yako nguvu ya kufikiri kwa haraka zaidi.
mmmmnh......
naanza kuamini kuwa wale wanaume wasiogonga gonga hovyo ndio wanaodumu na ndoa zao sababu hakuna wa kucompare naye,hii ya kutembea na mwajuma kesho asha ndio inapelekea kufanya comparison.....eti ukikuta sicho ulichokitarajia.....mbunye ni mbunye ndugu!