maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
na wa kwanza kureply kajishindia tuzo ya ushambana aliyeandika uzi huu mshamba wa GB 8
Kivipi mkuu?Hi ndio uhuru wa kujieleza
Anatumia X badala ya S kwene text zake huyu pia mshambaKwene cm yake ana application ya Facebook lite huna haja ya kuuliza uyo ni mshamba
Ana miaka chini ya 25 anashanibikia arsenal uyo ni mshamba anafata mkumbo iyo timu karithi
Ana nyimbo zote za wasafi uyo ni mshamba fika
Ameweka dredi nusu kichwa kama mama yao , huyo pia mshamba
Kavaa nguo yenye lebel, iwe Gucci, fend fend au supreme uyo mshamba kupitiliza
Anatembea na maji au soda, huyu kapitiliza kidogo kwene ushamba
Anashabikia simba, huyu hafai kuigwa na jamii
Taja sifa zingine za washamba
Nani uyo? share with usKumbe huyo ni mshamba na mkulima ndo Yuko huko canada kauma ndege yetu..😜
Kukomenti nje ya mada huo ni ushamba ulo kubuhuUshamba huu. Uzi umekaa kimavi mavi
ni nini?maji ya gundu huo nao ni...
Asante mkuu, na hapa nakazia!Hi ndio uhuru wa kujieleza
anapoteza mda ku discribe washamba pia ni mshambaKwenye simu yake ana application ya Facebook Lite huna haja ya kuuliza uyo ni mshamba.
Ana miaka chini ya 25 anashanibikia Arsenal uyo ni mshamba anafata mkumbo, hiyo timu karithi.
Ana nyimbo zote za Wasafi, huyo ni mshamba fika.
Ameweka dredi nusu kichwa kama mama yao, huyo pia mshamba.
Kavaa nguo yenye lebel, iwe Gucci, fend fend au Supreme huyo mshamba kupitiliza.
Anatembea na maji au soda, huyu kapitiliza kidogo kwenye ushamba.
Anashabikia Simba, huyu hafai kuigwa na jamii.
Taja sifa zingine za washamba