Ukiyaona haya usijiulize mara mbili jua huyo ni mshamba

Ukiyaona haya usijiulize mara mbili jua huyo ni mshamba

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Kwenye simu yake ana application ya Facebook Lite huna haja ya kuuliza uyo ni mshamba.

Ana miaka chini ya 25 anashanibikia Arsenal uyo ni mshamba anafata mkumbo, hiyo timu karithi.

Ana nyimbo zote za Wasafi, huyo ni mshamba fika.

Ameweka dredi nusu kichwa kama mama yao, huyo pia mshamba.

Kavaa nguo yenye lebel, iwe Gucci, fend fend au Supreme huyo mshamba kupitiliza.

Anatembea na maji au soda, huyu kapitiliza kidogo kwenye ushamba.

Anashabikia Simba, huyu hafai kuigwa na jamii.

Taja sifa zingine za washamba
 
A
Kwene cm yake ana application ya Facebook lite huna haja ya kuuliza uyo ni mshamba

Ana miaka chini ya 25 anashanibikia arsenal uyo ni mshamba anafata mkumbo iyo timu karithi

Ana nyimbo zote za wasafi uyo ni mshamba fika

Ameweka dredi nusu kichwa kama mama yao , huyo pia mshamba

Kavaa nguo yenye lebel, iwe Gucci, fend fend au supreme uyo mshamba kupitiliza

Anatembea na maji au soda, huyu kapitiliza kidogo kwene ushamba

Anashabikia simba, huyu hafai kuigwa na jamii

Taja sifa zingine za washamba
Anatumia X badala ya S kwene text zake huyu pia mshamba
 
Kumbe huyo ni mshamba na mkulima ndo Yuko huko canada kauma ndege yetu..😜
 
kuna watu wakikosa chakufanya huamua kujichoresha mbele za wanaume...
 
Kuna wale wa kunyoa kiduku halafu wanakisuka rasta!

Kuna wale wa kuvaa milegezo na kuacha nguo ya ndani nje!!

Kuna wale wa kutembea na viatu vya manyoya!
 
Freedom is the right to be wrong not the right to do wrong.
 
Kwenye simu yake ana application ya Facebook Lite huna haja ya kuuliza uyo ni mshamba.

Ana miaka chini ya 25 anashanibikia Arsenal uyo ni mshamba anafata mkumbo, hiyo timu karithi.

Ana nyimbo zote za Wasafi, huyo ni mshamba fika.

Ameweka dredi nusu kichwa kama mama yao, huyo pia mshamba.

Kavaa nguo yenye lebel, iwe Gucci, fend fend au Supreme huyo mshamba kupitiliza.

Anatembea na maji au soda, huyu kapitiliza kidogo kwenye ushamba.

Anashabikia Simba, huyu hafai kuigwa na jamii.

Taja sifa zingine za washamba
anapoteza mda ku discribe washamba pia ni mshamba
 
Ukiona mtu anaona wanaopenda na kufanya vitu ambavyo yy havipendi ni washamba huyo ndo mshamba kuliko wote
 
Back
Top Bottom