Well usiuite ni utamu bali uuite ujinga. Binadamu timamu inatakiwa utumie akili katika kufanya maamuzi. Unatakiwa uutawale mwili wako na sio mwili ukutawale.Utamu madam ndiyo unasababisha yote hayo huo muda wa kuchunguzana unatoka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sky EclatMtoto anakuja katika mazingira mengi. Wengi wangependa wazaliwe au wazae kwenye ndoa. Kuna wengine humuomba mume wa mtu azae naye tu kwakuwa anahitaji mtoto.
Wengine ni one night stand, mlienda field huko baridi ikawapiga mkafunga ndoa ya dakika kadhaa. Wengine ni michepuko ikatokea mimba ikaingia.
Basi ikitokea umezaa na mume wa mtu, ilhali ulijua yule bwana ana ndoa yake au japo hukujua, basi lea mwanao usitake kuvunja ndoa za watu.
Mpe mtoto ubin wa baba yako. Mbegu ya mume wa mtu ni zawadi yako.
Ukianza ooh mtoto ajue mila za kwao, mfyuu huo ni umbea, kwani wale watoto wa dogo dogo centre wanajua mila za kwao?
Wengi wanaotafuta baba wa watoto zao ni wale wa baba wenye pesa zao. Baba asiye na kitu hasumbuliwi labda mtoto mwenyewe awe mkubwa atake tu kujua asili yake.
Mtoto anakuja katika mazingira mengi. Wengi wangependa wazaliwe au wazae kwenye ndoa. Kuna wengine humuomba mume wa mtu azae naye tu kwakuwa anahitaji mtoto.

Kabisa. Wanawake wengi tumeaminishwa ujinga. Kwamba ili uheshimike ni mpaka uolewe, na ndiyo maana wengi tuna ignore red flags kisa tumeahidiwa ndoa. Lakini pia, kila mmoja ana ramani na ratiba yake kwenye maisha. Hatupaswi kulazimisha kutembelea ramani na ratiba ya MTU mwingine.Hivyo vitu ulivyoviita "ujinga" ulivyoviwaza ndio yanayowapa wanawake wengi maumivu makali ambayo imebidi wajiambie "ujinga" mwingine ili waendelee kuvumilia maumivu hayo. Kuna red flags nyingi mtu unaonyeshwa kabla ya kuoana lakini tunajiaminisha "ujinga" sijui ni kwa desparation ya ndoa[emoji134][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Mwanaume anaezaa zaa hovyo na kila mwanamke hawezi kuwa mume wala baba daima. Huyo ni sperm donor tu. Ogopa sana mwanaume anaejua hamna ndoa halafu anakutaka mzae. Hilo ni furushi.
sasa nikaache mwanangu kisa namuogopa mke wangu? huyo atanielewa tu na ili ku make mambo simple you just take care of the baby na mama yake huko waliko mpaka atakapo kua then una introduce topic .Kama uko kwenye ndoa unamfahamisha mke wako?
ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha.Sky Eclat,
Absolutely...
Nami nina janga hilo, ila alielewa baada ya muda, mke nilimwambia, ila nililala sebuleni kama wiki 3 hivi kwa kuogopa ntakayofanyiwa, nikaambiwa nirudi tu kitandani kwake, nashukuru nilisamehewa.
kwan wewe hautakubali?Mke wako amekubali mtoto aje nyumbani kwenu?
ni kwel kabisaaaUkiambiwa kuna mtoto ni mtihani mkubwa. Ni afadhali uruhusu ajuane na wenzake. Ukisema akae kwa mama yake Baba akienda kuwajulia hali watoto wanaweza kuongezeka.
asipomkubali wataongezekea hukoo alikoachwaaa.Ukimkubali huyo baada ya muda unaongezewa mwingine
Kila mama aliyeamua kuzaa alee mtoto wake...asipomkubali wataongezekea hukoo alikoachwaaa.
Na hapo ndio wanakoseaga hawa viumbe,kwa akili zake anajua unaweza kumuacha mke ye akachukua nafasi kitu ambacho hakipo,sana sana ataishia kupewa zile za ustawi wa jamii ambazo ni hasara kubwa kwake.Hali ni ngumu,ukisema umtunze kwa Siri mama mtoto haridhiki anahisi unampa matunzo kidogo anaamua aliweke wazi akiamini atapata kikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Kwahiyo kama ni mke wa mtu pia nipige kimya sio?? Basi siulizii tena.Kwenda kutoana raha tu eeh Hii ni damu yenu, iweke kwenye fridge basi.
Hawajui matatizo wanauowasababishia hao Wayne za watu huko majumbani kwao.Sky Eclat wewe unalabua tu. Ikiuma waseme ama sio! ha ha.
Wenzako wanafanya mtaji, mume wa mtu akipanda mbegu, akasusa wanaenda kujiandikisha ustawi wa jamii wasaidiwe kudai matunzo ya mtoto/watoto kisheria. Ni hivyo tu
Ktk maisha yangu ya ukuaji nilijifunza mengi kuhusu watoto wanaozaliwa nje ya ndoa. Kwanza kbs wanateseka kwa kukosa malezi ya pande mbili yani baba na mama, pili wakilelewa na mama wa kambo hukumbana na changamoto nyingi wakiwa bado wadogo sana wasioweza kujitetea kwa namna yoyote ile, wanakuwa wanyonge sana ktk familia wanamolelewa ila wanakuwa na akili nyingi kupitia changamoto wanazokabiliana nazo n.k.
Basi niliamua kuwa ktk maisha yangu sitoruhusu hilo litokee kwa kiumbe kisichohusika na dhabi zetu wasaliti, nashukuru Mungu halikutokea na halitokei kamwe.
Hili sio jambo jema ktk jamii na hata vitabu vitakatifu vya Mungu vimekataza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto anakuja katika mazingira mengi. Wengi wangependa wazaliwe au wazae kwenye ndoa. Kuna wengine humuomba mume wa mtu azae naye tu kwakuwa anahitaji mtoto.
Wengine ni one night stand, mlienda field huko baridi ikawapiga mkafunga ndoa ya dakika kadhaa. Wengine ni michepuko ikatokea mimba ikaingia.
Basi ikitokea umezaa na mume wa mtu, ilhali ulijua yule bwana ana ndoa yake au japo hukujua, basi lea mwanao usitake kuvunja ndoa za watu.
Mpe mtoto ubin wa baba yako. Mbegu ya mume wa mtu ni zawadi yako.
Ukianza ooh mtoto ajue mila za kwao, mfyuu huo ni umbea, kwani wale watoto wa dogo dogo centre wanajua mila za kwao?
Wengi wanaotafuta baba wa watoto zao ni wale wa baba wenye pesa zao. Baba asiye na kitu hasumbuliwi labda mtoto mwenyewe awe mkubwa atake tu kujua asili yake.
Hawajui matatizo wanauowasababishia hao Wayne za watu huko majumbani kwao.
Yeah mama ndo kizuizi.Mkuu mama zetu tunawapenda, ila chunguza usije ukakuta mama ndio kizuizi cha wewe kukutana na baba.