Ukizaa na mume wa mtu, mtoto ni wa kwako

Za kuambiwa nimesha changanya na za kwangu [emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh uncle hii nini tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Ankoo siwezi kufanya hiyo kitu kabisa. Hata nikipanga niwe na kadada kadogodogo hata dakika kumi hazifiki nafumaniwa kwenye mtongozo.
Nina kigugumizi, nikijaribu kujitetea wife anasema atafunika ungo chini... Eti akifanya hivyo(sijui kweli?!) nitakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu haki ya mtoto kurithi jina la baba yake. Unless kama huyu baba (mume wa mtu) amemkataa mtoto kwa maneno vinginevyo huyo mtoto ana haki ya jina la baba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] anakutishia tu, baki njia kuu anko huku michepukoni hakuna hata cha ziada
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] anakutishia tu, baki njia kuu anko huku michepukoni hakuna hata cha ziada

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Ankoo, ahsante kwa kujali. Michepuko yangu ni wamiliki wa shule, yaani najuta kwanini Disemba inaisha bila makubaliano. Kila mmiliki anakumbushia balance yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wote tuseme amina
 
Tusichepuke kweli? Halafu endelea kutuita hivyo tu...
 
Very true aiseew

Wenye ndoa wengi wanalia na michepuko ambayo nayo ina ndoa zao

Halafu ni kama mambo yanabadilika.... siku hizi liketokea wimbi la waume za watu kupenda wake za watu na wake za watu kupenda waume za watu. Wenyewe wanasema huo ndio uchepukaji wenye afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…